Results for neno lake mungu lakuita wewe translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

neno lake mungu lakuita wewe

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

neno lake ni kweli na amina

English

it's your word of truth

Last Update: 2023-07-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alifanya hivyo, ili kwa neno lake, aliweke wakfu kwa mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji,

English

that he might sanctify and cleanse it with the washing of water by the word,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, bali litekelezeni kwa vitendo.

English

but be ye doers of the word, and not hearers only, deceiving your own selves.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika masihi isa mwana wa maryamu ni mtume wa mwenyezi mungu, na neno lake tu alilo mpelekea maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. basi muaminini mwenyezi mungu na mitume wake.

English

christ jesus the son of mary was (no more than) a messenger of allah, and his word, which he bestowed on mary, and a spirit proceeding from him: so believe in allah and his messengers.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tukisema kwamba hatujatenda dhambi, tutakuwa tumemfanya mungu mwongo, na neno lake halimo ndani yetu.

English

if we say that we have not sinned, we make him a liar, and his word is not in us.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu aliwaita miungu wale waliopewa neno lake; nasi twajua kwamba maandiko matakatifu yasema ukweli daima.

English

if he called them gods, unto whom the word of god came, and the scripture cannot be broken;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kupenda kwake mwenyewe alituzaa kwa neno lake la ukweli, ili tuwe namna ya matunda ya kwanza miongoni mwa viumbe vyake.

English

of his own will begat he us with the word of truth, that we should be a kind of firstfruits of his creatures.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika masihi isa mwana wa maryamu ni mtume wa mwenyezi mungu, na neno lake tu alilo mpelekea maryamu, na ni roho iliyo toka kwake.

English

indeed, the messiah, jesus son of mary, is only a messenger (and prophet) of allah, and his word (be) which he gave to mary, and a (created) spirit by him.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninyi hamjapata kumjua, lakini mimi namjua. na, nikisema simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi. mimi namjua na ninashika neno lake.

English

yet ye have not known him; but i know him: and if i should say, i know him not, i shall be a liar like unto you: but i know him, and keep his saying.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye ni mng'ao wa utukufu wa mungu, na mfano kamili wa hali ya mungu mwenyewe, akiutegemeza ulimwengu kwa neno lake lenye nguvu. baada ya kuwapatia binadamu msamaha wa dhambi zao, aliketi huko juu mbinguni, upande wa kulia wa mungu mkuu.

English

who being the brightness of his glory, and the express image of his person, and upholding all things by the word of his power, when he had by himself purged our sins, sat down on the right hand of the majesty on high;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme mwenyezi mungu ila kwa lilio kweli. hakika masihi isa mwana wa maryamu ni mtume wa mwenyezi mungu, na neno lake tu alilo mpelekea maryamu, na ni roho iliyo toka kwake.

English

do not exaggerate in your religion nor say anything concerning allah, but the truth; the messiah, eisa the son of maryam, is purely a noble messenger of allah, and his word; which he sent towards maryam, and a spirit from him; so believe in allah and his noble messengers; and do not say “three”; desist, for your own good; undoubtedly allah is the only one god; purity is to him from begetting a child; to him only belongs all whatever is in the heavens and all whatever is in the earth; and allah is a sufficient trustee (of affairs).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,763,966,082 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK