From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lengo kuu la ilani ya pap ni kuendeleza hali kama ilivyo, na kuifanya kuwa bora kwa urembo na kwa takwimu lakini kubaki mbaya katika ukweli halisi.
the pap manifesto is ultimately about maintaining the status quo, making it cosmetically and statistically better but substantially worse.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sehemu ya ethno ni kuendeleza asili yake ya muziki wa ki-hindi na punk, anasema, inamsaidia kuelezea mapambano ya kuwa mwanamke anayejitegemea nchini india leo.
the ethno part is a nod to her classical indian musical roots and the punk, she says, helps her express the struggles of being an independent woman in india today.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mashabiki nusu-dazeni wakiwa na moja ya madude haya, au hata mashabiki wengi wanapoyapuliza kushangilia goli ama mchezo mzuri wa kulinda goli hilo ni jambo moja, lakini wale tulioangalia kombe la mabara la fifa tumejifunza kuwa, namna ya ushangiliaji nchini afrika kusini inaonekana kuwa ni kuendeleza kelele hii moja kwa moja wakati wote wa pambano.
a half-dozen fans having one of these, or even a lot of fans who blow on them to celebrate a goal or terrific defensively play is one thing, but as those of us that watched the fifa confederations cup learned, the practice in south africa seems to be to keep a continuous drone of vuvuzela going throughout the match.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.