From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na katika ng'ombe na kondoo na mbuzi tumewaharimishia shahamu yao, isipo kuwa ile iliyo beba migongo yao au matumbo yao, au iliyo gandamana na mifupa.
and of the oxen and the sheep forbade we unto them the fat thereof save that upon the backs or the entrails, or that which is mixed with the bone.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na wale walio fuata dini ya kiyahudi tumewaharimishia kila mwenye kucha. na katika ng'ombe na kondoo na mbuzi tumewaharimishia shahamu yao, isipo kuwa ile iliyo beba migongo yao au matumbo yao, au iliyo gandamana na mifupa.
and for the jews we forbade all animals with claws; and forbade them the fat of oxen and sheep except which is on their backs or joined to their intestines or to the bone; we awarded this to them for their rebellion; and indeed, surely, we are truthful.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: