From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ufaransa: tuzo ya fasihi yaja na masharti
france: does prestigious literary award entail a "duty of restraint" ? · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
global voices na tuzo ya blogu bora zaidi
global voices and the bobs
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogu za afrika zapendekezwa kupokea tuzo ya bloggies 2009
african blogs nominated for the 2009 bloggies · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tuzo ya kuvunja mipaka iko wazi kwa watu wa kila taifa.
the breaking borders award is open to people of all nationalities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tuzo ya udhibiti ya majanga – shirika la taifa la majisafi na majitaka
crisis management award – national water and sewerage corporation
Last Update: 2024-03-20
Usage Frequency: 1
Quality:
dunia ilifurahi wakati suu kyi, ambaye ni mshindi wa tuzo ya nobeli, alipoachiwa huru kutoka kifungo cha nyumbani.
the world rejoiced when suu kyi, a nobel peace prize winner, was freed from house arrest.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
roshan radhakrishnan, aliyeshinda tuzo ya blogu bora ya uandishi wa ubunifu nchini india, anatoa maoni na picha zake.
blogger dr. roshan radhakrishnan, who won the best creative writing blog in india, shares his thoughts and pictures.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jennifer sefa-boakye anasaili orodha ya washindani 10 bora zaidi wa tuzo ya golden baobab kwa wachoraji wa kiafrika:
jennifer sefa-boakye highlights 10 of golden baobab prize for african illustrators’ finalists:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
filamu ya danny boyle, slumdog millionaire, iliyotokana na kitabu chenye maudhui ya india imefanya vyema katika sherehe za 81 za tuzo ya academy.
danny boyle's slumdog millionaire, a british social film based on a novel set out in india made a clean sweep at the the 81st academy awards ceremony.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanzilishi wa global voices, rebecca mackinnon, alitunukiwa tuzo ya knight news challenge kwa ajili ya kutayarisha safu ya kiulimwengu ya makampuni yanayotoa huduma ya intaneti.
global voices co-founder, rebecca mackinnon, was awarded a knight news challenge award to develop a global ranking of internet companies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, mnamo mwaka 1991, mtoto mkubwa wa bibi suu kyi, alexander, alipokea tuzo ya amani ya nobel huko oslo kwa niaba ya mama yake.
however, in 1991, ms suu kyi’s older son, alexander, accepted the nobel peace prize in oslo on her behalf.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mapendekezo kwa ajili ya tuzo ya kuvunja mipaka yanaweza kuwasilishwa hapa http://www.breakingborders.net na zoezi litafungwa tarehe 15, februari, 2010.
nominations for the breaking borders award can be submitted at http://www.breakingborders.net and close on february 15, 2010.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tuzo ya frederick douglass “huenzi uwezo wa kumudu wa roho ya binadamu na husisitiza kwamba wengi wa wanaonusurika utumwa wa ki-leo huendelea kuwasaidia na wengine kuwa huru”
the frederick douglass award "honors the tremendous resilience of the human spirit and emphasizes that many of the survivors of modern-day slavery go on to help others to freedom."
Last Update: 2023-11-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kati ya vivutio vya mkutano huo kitakuwa ni kutangazwa kwa washindi wa tuzo ya kuvunja mipaka, tuzo mpya iliyoundwa na google pamoja na global voices ili kuenzi miradi ya kipekee katika wavuti iliyoanzishwa na watu au vikundi vinavyoonyesha ujasiri, ari na uwezo wa kutumia intaneti ili kukuza uhuru wa kujieleza.
among the highlights of the proceedings will be the announcement of the winners of the breaking borders award, a new prize created by google and global voices to honor outstanding web projects initiated by individuals or groups demonstrating courage, energy and resourcefulness in using the internet to promote freedom of expression.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
licha ya kuwa mwanaharakati, jambo ambalo limempatia tuzo ya right livelihood mwaka 2005, irene pia ni mama wa watoto watatu, camverra jose maliamauv, tania jo na katrina jorene, mlezi wa watoto wengine kadhaa.
aside from being an activist, which had led to her receiving the right livelihood award in 2005, irene is also a mother to three children, camverra jose maliamauv, tania jo and katrina jorene, and several foster children.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@wlext: siku ya huzuni kwa wapigapicha & journos nchini #bahrain, mshindi wa tuzo ya mwandishi wa kiraia wa picha #freehumaidan amekamatwa jana pic.twitter.com/c4ak9vfh
@wlext: sad day for photagraphers & journos in #bahrain, award winning citizen photo journalist #freehumaidan arrested yesterday pic.twitter.com/c4ak9vfh
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.