Results for ufufuo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ufufuo

English

rebirth

Last Update: 2024-03-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ufufuo wa yesu

English

christ died

Last Update: 2024-03-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kwamba ni juu yake ufufuo mwengine.

English

and on him depends the life hereafter.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, kristo naye hakufufuka;

English

but if there be no resurrection of the dead, then is christ not risen:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wale ambao mungu atawawezesha kushiriki ule wakati wa ufufuo, hawataoa wala kuolewa.

English

but they which shall be accounted worthy to obtain that world, and the resurrection from the dead, neither marry, nor are given in marriage:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

martha akamjibu, "najua kwamba atafufuka wakati wa ufufuo, siku ya mwisho."

English

martha saith unto him, i know that he shall rise again in the resurrection at the last day.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akamwambia, "mimi ndimi ufufuo na uzima. anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi:

English

jesus said unto her, i am the resurrection, and the life: he that believeth in me, though he were dead, yet shall he live:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

(wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka elfu moja itimie.) huu ndio ufufuo wa kwanza.

English

but the rest of the dead lived not again until the thousand years were finished. this is the first resurrection.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawa wamepotoka kabisa mbali na ukweli, na wanatia imani ya watu wengine katika wasiwasi kwa kusema ati ufufuo wetu umekwisha fanyika.

English

who concerning the truth have erred, saying that the resurrection is past already; and overthrow the faith of some.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndivyo ilivyo kuhusu ufufuo wa wafu. kama vile mbegu, mwili huzikwa ardhini ukiwa katika hali ya kuharibika, lakini hufufuliwa katika hali ya kutoharibika.

English

so also is the resurrection of the dead. it is sown in corruption; it is raised in incorruption:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ambayo yalikuwa mfano wa ubatizo unaowaokoa ninyi sasa. ubatizo si shauri la kuondoa uchafu mwilini, bali ni ahadi kwa mungu inayofanyika katika dhamiri njema. huwaokoeni kwa njia ya ufufuo wa yesu kristo,

English

the like figure whereunto even baptism doth also now save us (not the putting away of the filth of the flesh, but the answer of a good conscience toward god,) by the resurrection of jesus christ:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wameneemeka sana, tena heri yao wote wanaoshiriki ufufuo huu wa kwanza. kifo cha pili hakitakuwa na nguvu juu yao; watakuwa makuhani wa mungu na wa kristo, na watatawala pamoja naye kwa miaka elfu moja.

English

blessed and holy is he that hath part in the first resurrection: on such the second death hath no power, but they shall be priests of god and of christ, and shall reign with him a thousand years.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengine waliofuata falsafa ya epikuro na stoiki walibishana naye. wengine walisema, "anataka kusema nini huyu bwanamaneno?" kwa kuwa paulo alikuwa anahubiri juu ya yesu na juu ya ufufuo, wengine walisema, "inaonekana kama anahubiri juu ya miungu ya kigeni."

English

then certain philosophers of the epicureans, and of the stoicks, encountered him. and some said, what will this babbler say? other some, he seemeth to be a setter forth of strange gods: because he preached unto them jesus, and the resurrection. ilove you so much jjjj

Last Update: 2013-11-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,759,119,739 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK