Results for uhaini translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

uhaini

English

treason

Last Update: 2015-06-05
Usage Frequency: 16
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

no mbaya zaidi ya kubaka na uhaini pamoja na mambo mengine yote aliyokwisha chapwa nayo.

English

it is worse than the rape and treason and all other things slapped on him.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

moja ya nukuu zake inatoka katika hotuba yake ya kijeuri aliyoitoa mahakamani wakati wa kesi maarufu ya uhaini ya rivonia mwaka 1964, ambapo alisema:

English

one of his most famous quotes comes from a defiant speech he made in court during his rivonia treason trial in 1964, in which he said:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mac paul alitwa na serikali kutoa ushahidi dhidi ya mahabusu wanne wa kisiasa (pagan, oyai, majak na gatkuoth) waliopandishwa kizimbani wakijibu mashitaka ya uhaini.

English

mac paul was called as a government witness to testify against the detained 4 political prisoners (pagan, oyai, majak and gatkuoth) who are arraigned in court, charged with treason.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kama alivyosema mwanamke mmoja aitwaye selvi, “hii ni mara tu baada ya kuwa miongoni mwa sehemu ya kujituma ndipo tulipogundua kuwa kujaribu kuweka misingi ya haki ya mtu ya kuishi kama mtu anavyotegemea, akiendeleza utamaduni wa kuishi kindugu na pia kuhoji mambo yanayotekelezwa bila hata ya kujadiliana na watu ni karibu sawa na kosa la jinai na uhaini”.

English

as another woman selvi said, “it is only after being part of the struggle that we realized that trying to establish one’s right to live as one wishes, pursuing traditional livelihoods and also questioning activities that are being implemented without consulting the people is equivalent to crime and sedition.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,877,162,789 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK