Results for ulitoa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ulitoa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

usimamizi wa chakula na dawa wa marekani ulitoa ilani kuhusu upungufu wa dawa na vifaa vya kimatibabu kutokana na kuongezeka kwa hitaji kutoka kwa watumiaji na kuvurugwa kwa usambazaji wa bidhaa.

English

the united states food and drug administration has issued warnings about shortages of drugs and medical equipment due to increased consumer demand and supplier disruption.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wiki iliyopita, umoja wa mataifa ulitoa taarifa mpya ya idadi ya vifo inayofikia zaidi ya watu 191,000. vifo hivi vinatokana na ugomvi uliopo baina ya vikosi vya wanajeshi vinavyomtii rais bashar al-assad na vikundi vinavyopinga uongozi wake.

English

just last week, the united nations revised its death toll for the bloody conflict between forces loyal to president bashar al-assad and the factions that are opposed to his rule to more than 191,000.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo tarehe 6 februari 2020, timu yetu ilichapisha mwongozo wa ushauri wa haraka wa uchunguzi na matibabu ya maambukizi ya virusi vipya vya korona 2019 (2019-ncov), na mwongozo ulitoa uzoefu wetu na kuweka marejeleo mema kwa ajili ya kupigana na janga hili kubwa kote duniani.

English

on 6 february 2020, our team had published a rapid advice guideline for diagnosis and treatment of 2019 novel coronavirus (2019-ncov) infection, and this guideline provided our experience and make well reference for fighting against this pandemic worldwide.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,178,799 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK