Results for ungependelea kubadilisha hiyo kuw... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ungependelea kubadilisha hiyo kuwa browser_lang

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

watu wengi hapa bangkok walitarajia siku hiyo kuwa na vurugu.

English

many people here in bangkok expected the day to be chaotic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

leo, mitandao ya kijamii nchini venezuela imekuwa ikitoa taswira ya nchi hiyo kuwa ukingoni mwa zoezi muhimu.

English

today, social networks in venezuela show a country at the fringe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bunge la taifa la togo limepiga kura ya kukomesha adhabu ya kifo na kuifanya nchi hiyo kuwa mwanachama wa 15 wa umoja wa nchi za afrika kuipiga marufuku adhabu hiyo.

English

togo's national assembly voted on tuesday to end the death penalty for all crimes, making it the 15th member of the african union to abolish capital punishment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokuwepo kwa uhakika wa upatikanaji wa umeme pia kunaleta tishio kwa maendeleo ya viwanda nchini cameroon, jambo ambalo litakwaza ndoto ya nchi hiyo kuwa nchi yenye uchumi imara ifikapo 2035.

English

limited access to electricity also represents a threat to the industrialization of cameroon, which in turn could undermine cameroon’s ambition of becoming emerging economy by 2035.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata baada ya misuguano hiyo kuzoeleka, kiwango cha mauaji ya mwaka 2010 kwenye mji wa dogo-nahawa kulimfanya ibanga na wanawake wengine wa sehemu hiyo kuwa wanaharakati wanaopaza sauti.

English

even after the tensions had become commonplace, the severity of a 2010 massacre in the town of dogo-nahawa turned ibanga and other local women into vocal activists.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dilip ratha, mchumi wa benki ya dunia, anadai kwenye blogu ya benki hiyo kuwa pesa zinazotumwa zinaweza kufanya kazi muhimu pamoja na ile hadhi ya uhamiaji ya dharura iliyoongezwa ya “kinga ya muda” (tps) kwa wahaiti laki 2 wanaoishi nchini marekani .

English

dilip ratha, a world bank economist, argues at the bank's blog that remittances could hold a more important role with the emergency extension of "temporary protected" immigration status ("tps) to as many as 200 thousand haitians living in the us.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,778,656,828 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK