Results for ustadi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na mnachonga milimani majumba kwa ustadi.

English

"and ye carve houses out of (rocky) mountains with great skill.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

blogu hii ni kitabu chake cha kumbukumbu cha mtandaoni kilicho na mtindo wa picha kikionyesha matukio mengi yanayosisimua na picha zilizopigwa kwa ustadi mkubwa za watu na vitu.

English

the blog is an online diary captured in image form featuring a lot of breathtaking sceneries and immaculately taken photos of different people and items.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wala hawafikiri kwamba nchi za magharibi ndizo zilizomtengeneza sheitwan na kwamba raia wa kimagharibi ndio wanaopaswa kupigwa na kuangamizwa kwa kutumia matendo ya kujitoa mhanga yanayosukwa kwa ustadi na kwa kushtukiza.

English

nor do they think that the west was created by satan and should be defeated in battle by inflicting maximum civilian casualties through random and creative acts of murderous suicide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

manufaa yake ni jambo ambalo linaweza kufikiwa ikiwa watumiaji wake watatumia teknolojia kwa ustadi ili kufikia lengo zuri,” anaandika katika barua pepe.

English

its real usefulness is ultimately something that can only be realized if the users utilize such technology skillfully towards a good goal," he writes in an e-mail.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika makala ya mitaa ya paris inavyonikumbusha mitaa ya beirut, joey anaandika kwa ustadi kuhusu "kushindwa kwa sisi binadamu kujitazama kwa sura ya usawa."

English

in the streets of paris are as familiar to me as the streets of beirut, joey writes movingly about "the general failure of humanity’s imagination to see itself as a unified entity."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

gazeti linahaririwa na david iaconangelo, ambaye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha johns hopkins huko baltimore, huku likiendeshwa katika zana ya blogger,zafra lit linategemea juhudi za wafasiri wanafunzi ambao wanajitolea muda na ustadi wao.

English

edited by david iaconangelo, a student at johns hopkins university in baltimore, and running on blogger, zafra lit draws on the efforts of student translators who volunteer their time and skills.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati watumiaji wa youtube wakiendelea kusambaza video hii ya bendi kutoka ukraine iliyoandaliwa kwa ustadi mkubwa, baadhi ya watu wanahisi kuwa, yawezekana video video hii imeandaliwa kwa siri kama namna ya kutangaza bidhaa za apple kufuatia vifaa hivi vya apple kutumika katika kazi hii iliyotukuka.

English

as users continue to share the ukrainian band's video masterpiece on the web, some are jokingly speculating the video might secretly be an apple promotion, since the devices play such a prominent part.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tathmini hali ya kuwa tayari na chagua vifaa vifaavyo zaidi: amua utumizi wa suluhisho za kiteknologia ya hali ya juu na ya chini kulingana na uthabiti wa umeme mitaani, muungano wa mtandao, na ustadi wa mambo ya kidijitali ya walimu na wanafunzi.

English

examine the readiness and choose the most relevant tools: decide on the use high-technology and low-technology solutions based on the reliability of local power supplies, internet connectivity, and digital skills of teachers and students.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,853,677 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK