Results for utata translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

utata

English

ambiguities in accountants

Last Update: 2021-05-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siasa zinazua utata.

English

the politics are a bit confusing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kipindi hiki hakijakosa utata.

English

the show is not without controversy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kongo: utata watawala goma

English

d.r. congo: confusion reigns in goma · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ripoti imezua utata kati ya wazungu.

English

the report has generated controversy among europeans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

martinique: uchaguzi, utata na kugomea uchaguzi

English

martinique: election, tension and abstention · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

venezuela: ziara ya mahmoud ahmadinejad yaibua utata

English

venezuela: mahmoud ahmadinejad's visit raises controversy · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pengine utata ndiyo njia pekee ya kuielezea hali ilivyo.

English

confusion is probably the only way to describe the situation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kugoma kwa mjamzito wa miaka 11 kutoa mimba kumesababisha utata.

English

pregnant 11-year-old who refused to abort creates controversy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uganda imeuwasilisha mezani kwa mara nyingine tena muswada wenye utata unaopinga ushoga.

English

uganda has again re-tabled the controversial anti-gay bill.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

papa nchini kameruni (1): utata wa safisha-safisha jijini yaounde

English

the pope in cameroon (1): yaoundé clean up controversy · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

haya si mapinduzi ya kijeshi, haya ni matakwa ya taifa yanayohalisishwa kwa mbinu isiyo na utata wowote

English

this is not a coup, this is the will of the nation coming to life in an unconventional manner

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ingawa muswada huo umejaa utata mwingi, bado serikali imekuwa ikishinikiza baraza la kutunga sheria kuupitisha.

English

even though the bill is highly controversial, the administration has been pushing the legislative council to pass it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jide salu anakiri kuwepo kwa utata wa kikatiba, lakini kimsingi alikuwa na shukrani kwamba nchi hatimaye ina mtawala.

English

jide salu acknowledged the constitutional ambiguity, but was primarily thankful that the country finally has a leader.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mada nyingine ambayo imeleta utata mkubwa kati ya wanablogu wa uzbek ni akaunti ya facebook ya waziri mkuu wa uzbekistan shavkat mirziyoyev.

English

another topic that has sparked controversy among uzbek bloggers was the facebook account of uzbekistan’s prime-minister shavkat mirziyoyev.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii sio mara ya kwanza kwa majina ya viongozi wa ngazi ya juu sana nchini uzbek kutumika kwenye akaunti zenye utata kwenye mitandao ya kijamii.

English

this is not the first time that high-ranking uzbek public figures’ names have been used for suspicious accounts in social networks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika ujumbe mwingine kwenye blogu ya mbuga za taifa za virunga, emmanuel de merode pia anaandika kuhusu utata unaotawala goma:

English

on another post at the virunga park blog, emmanuel de merode also writes about the confusion reigning in goma:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakuna wiki inayopita bila kuwepo habari za kukamwatwa kwa mwandishi au mwanaharakati mwingine wa mtandaoni katika nchi kama vile misri au irani, lakini undani na sababu mara nyingi hugubikwa na utata usioelezeka.

English

not a single week passes without stories of arrests of yet another online journalist or activist in countries like egypt or iran, but the details and reasons are often shrouded in mystery.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mafuvu na mifupa vimemnyemelea shoaib kwa kupitia “mke wake wa zamani” ayesha siddiqui, ambaye ilimbidi amtaliki rasmi ili kuumaliza utata.

English

past skeletons have crept up on shoaib in the form of his "ex wife" ayesha siddiqui, whom he had to officially divorce to end the controversy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

habari hii ilizidi kuwa na utata siku mbili baadaye, mnamo tarehe 8 desemba, pale tovuti ya upinzani uzmetronom.com ilipochapisha makala yenye matokeo ya uanahabari wa kipelelezi uliofanywa na tovuti hiyo.

English

the story became more perplexing when two days later, on 8 december, the opposition site uzmetronom.com published an article with the results of a journalistic investigation, carried out by the website.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,783,745,725 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK