Results for vyetu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vitabu vyetu

English

our books of accounts show

Last Update: 2023-10-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawa wanasiasa wanatugonganisha vichwa vyetu.

English

these politicians are knocking our heads together.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walitutaka tusiondoke kwenye viti vyetu isipokuwa kama ni madaktari.

English

they asked us not to leave our seats unless we are doctors.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema tu vicheko vyetu vina ficha maumivu makubwa tuliyo nayo

English

english

Last Update: 2024-08-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu inakiuka msharti na vigezo vyetu, picha hiyo imeondolewa.

English

as it infringes our terms of service, it was removed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunafanya hivi kwa sababu hatutaki vizazi vyetu vijavyo kupitia hali hii tena.

English

we do this because we do not want our next generation come throught all this again.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi tuna jukumu kwa vitendo vyetu, na nyinyi mna jukumu kwa vitendo vyenu.

English

allah is our lord and your lord.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika tulikwenda kushindana na tukamwacha yusuf penye vitu vyetu. basi mbwa mwitu akamla.

English

we had gone racing and left joseph with our things, whereat the wolf ate him.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu zinaweza kuwa ni chanzo cha habari, lakini hatuzitegemei kuwa vyanzo vyetu pekee vya habari.

English

blogs may be a starting point for a news story, but we do not rely on them as a source.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini pia tunashuhudia madhara mabaya ya maendeleo ya haraka kwenye nyanja za viwanda katika visiwa vyetu.

English

but we are also seeing the damaging effects of aggressive industrialisation on our islands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama kuhusiana kwetu kusiko na mantiki na vyombo vya habari ni utambulisho, basi hata hatujajihusisha kihalisia na vyombo vyetu.

English

if our uncritical engagement with media is any indication, we’re not even particularly engaged with our own.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu.

English

and because when they hear idle talk they turn away from it and say: 'we have our deeds, and you have your deeds.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nanyi mtaanza kumwambia: sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.

English

then shall ye begin to say, we have eaten and drunk in thy presence, and thou hast taught in our streets.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ewe mola mlezi wetu! tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako.

English

and make us submit, o lord, to your will, and our progeny a people submissive to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenyezi mungu ni mola wetu mlezi, na mola wenu mlezi. sisi tuna jukumu kwa vitendo vyetu, na nyinyi mna jukumu kwa vitendo vyenu.

English

and say thou: i believe in whatsoever allah hath sent down of the book, and i am commanded that i should do justice between you; allah is our lord and your lord; unto us our works, and unto you your works; let there be no contention between us and you; allah will assemble us, and unto him is the return.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vikosi vyetu vyote vya usalama wa taifa tayari vimeanza kazi. — hishammuddin hussein (@hishammuddinh2o) july 18, 2014

English

all our intel agensies have been activated . — hishammuddin hussein (@hishammuddinh2o) july 18, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema: mnahojiana nasi juu ya mwenyezi mungu, naye ni mola wetu mlezi na mola wenu mlezi, na sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu?

English

say (o dear prophet mohammed – peace and blessings be upon him), “what! you dispute with us concerning allah, whereas he is our lord and also yours?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapana, hilo halikusisitizwa katika makala hii ili kuonyesha mazungumzo na vitendo vyetu, lakini wow… hilo halimaanishi kuwa mume wangu hana hisia na watu wa hapa!

English

no, that was not emphasized enough in this post to show all of our conversations and actions, but wow… that doesn’t mean that my husband doesn’t feel for the people here!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mungu hakutaka sisi tushinde vita vyetu vya kila siku vya kule tu kubaki hai, badala yake, ametupangia kushinda mpambano wa kandanda, ana mashindano yote, haleluya, tumeokolewa!

English

so god did not want us to win our daily battles of mere survival, instead, he destined us for winning a soccer game, and entire tournament, hallelujah, we’re saved!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema: mnahojiana nasi juu ya mwenyezi mungu, naye ni mola wetu mlezi na mola wenu mlezi, na sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu? nasi tunamsafia yeye tu.

English

(muhammad), ask the people of the book, "why should you argue with us about god, who is our lord as well as yours, when we are sincere in our belief in god?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
9,154,942,390 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK