From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wahadhiri
Last Update: 2021-02-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
idadi ya wanafunzi imeongezeka kwa kasi, lakini idadi ya wahadhiri na vifaa vya kufundishia havijaongezeka.
student numbers have expanded sharply, but the number of lecturers and teaching resources have not.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
awali, wahadhiri wawili wa chuo kikuu walifungua kesi wakilalamika kwamba kurasa hizi na tovuti hiyo zilikuwa zinaleta usumbufu wa hisia za kidini kwa watu.
two university teachers filed a law suit earlier complaining that these pages and the site were hurting people's religious sentiments.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baadhi ya vyuo vikuu bina idara zenye wahadhiri kadri ya 20 hivi, na bado hakuna mwenye shahada ya uzamivu…tumetoka kuhitimisha zoezi la kupitia upya mitaala lililogahrimu mamilioni ya dola za mikamrekani.
some universities have a department with 20 or so academic staff, yet none has a doctoral degree we have just gone through a multimillion-dollar curriculum review exercise.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
walimu na wahadhiri katika shule zetu za sekondari na vyuo vikuu wanashuhudia mwenendo wa mambo unaoonyesha kuwa wanafunzi wa shule binafsi wanazungumza kiingereza fasaha, lakini uwezo wao wa kufikiri, kuandika na uwezo wa kufanya mahesabu uko chini.
teachers and lecturers in our secondary schools and universities are observing a trend in which students from private schools speak perfect english, but their reasoning, writing and problem-solving skills are not well developed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: