From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ali alitumia muda wake mwingi kuelezea hali ngumu wanayopitia watu wa hazara, kjwa wale waliotokea kumfahamu na wale ambao hawakumfahamu, amekuwa ni mfano wa kuigwa katika harakati za kutafuta amani kwa jamii ya watu wa hazara nchini pakistani.
ali dedicated most of his life to highlighting the plight of hazara, for those who knew him and even those who did not, he has become a symbol of the struggle for justice for the hazara community in pakistan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
washiriki walitoka katika matabaka tofauti ya kijamii, kuanzia wanafunzi wa vyuo hadi vijana wa magenge na wasiokuwa na elimu, na pia waliotokea katika makabila tofauti, marika tofauti na waliotoka katika taasisi mbalimbali.
participants came from various socioeconomic backgrounds, ranging from university students to illiterate gang members, and were of different ethnicities, ages, and institutional affiliations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mradi wenye lengo la kutengeneza ramani mpya ya wazi ya kitongoji cha kibera mjini nairobi, kenya: “na jana tulimaliza siku nzima pale ms action aid kenya, ambako wanafunzi wa ki-denmark pamoja na wengine waliotokea kwenye mashirika mbalimbali kama vile ushahidi, unicef, umande trust na world bike, walipoonyeshwa mbinu za kutengeneza ramani.”
an initiative aimed at creating the first open map of kibera in nairobi, kenya: "and yesterday we spent the whole day at ms actionaid kenya, where the danish students were introduced to mapping techniques along with several others from organizations as diverse as ushahidi, unicef, umande trust, and world bike."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting