Results for waliyoyaona translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

waliyoyaona

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

inaonyesha mitazamo ya watu waliopiga simu kwenye kituo hicho cha utafiti kueleza yale waliyoyaona.

English

it shows perceptions from people phoning the usgs to tell them what they saw.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati mwanga wa asubuhi ulipotoka, watu zaidi walielekea mitaani na kurekodi madhara waliyoyaona:

English

as daylight came, more people went out to the streets and recorded the damage they observed: netprox drove through the highway, and had to squeeze under a fallen bridge to get through.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipokuwa wakishuka mlimani, yesu aliwakataza wasimwambie mtu yeyote mambo waliyoyaona, mpaka mwana wa mtu atakapokuwa amefufuka kutoka wafu.

English

and as they came down from the mountain, he charged them that they should tell no man what things they had seen, till the son of man were risen from the dead.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya hiyo sauti kusikika, yesu alionekana akiwa peke yake. wanafunzi walikaa kimya juu ya tukio hilo, na wakati ule hawakumwambia mtu yeyote mambo hayo waliyoyaona.

English

and when the voice was past, jesus was found alone. and they kept it close, and told no man in those days any of those things which they had seen.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipofika karibu na yerusalemu, katika mteremko wa mlima wa mizeituni, umati wote na wanafunzi wake, wakaanza kushangilia na kumtukuza mungu kwa sauti kubwa, kwa sababu ya mambo makuu waliyoyaona;

English

and when he was come nigh, even now at the descent of the mount of olives, the whole multitude of the disciples began to rejoice and praise god with a loud voice for all the mighty works that they had seen;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,761,938,311 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK