Results for wamehukumiwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

wamehukumiwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

washitakiwa 529 wamehukumiwa kifo na wengine 15 wakionekana hawana hatia kufuatia kesi ya minya.

English

529 defendants were sentenced to death and 15 were acquitted in the rabaa dispersal aftermath in minya trial.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu hiyo, hao waliokufa ambao walikuwa wamehukumiwa katika maisha yao ya kimwili kama anavyohukumiwa kila mmoja, walihubiriwa habari njema kusudi katika maisha yao ya kiroho waishi kama aishivyo mungu.

English

for for this cause was the gospel preached also to them that are dead, that they might be judged according to men in the flesh, but live according to god in the spirit.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi wengine watatu wamehukumiwa kwenda jela miezi sita na kulipa faini ya mad 5000 (sawa na dola za marekani 632) pamoja na bashir na abdullah kwa kuendesha mgomo haramu katika jiji la taghjijt.

English

three other students have been sentenced to six months and given a fine of mad 5000 (usd 632) along with bashir and abdullah for an un-authorized sit-in in the city of taghjijt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wamisri walishuhudia hukumu isiyotarajiwa katika historia ya vyombo vya sheria nchini humo: bilionea hesham talaat moustafa, pamoja na mamluki wake (mpiga risasi wa kukodi) mohsen el sokari wamehukumiwa adhabu ya kifo kutokana na kuhusika kwao katika mauaji ya mwimbaji wa kilebanoni suzanne tameem.

English

egyptians witnessed the most unexpected verdict in the history of their judiciary system: billionaire hesham talaat moustafa, along with his hired hitman mohsen el sokary, have both been sentenced to death for their roles in the murder of lebanese singer suzanne tameem.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,762,940,553 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK