Results for warefu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa upande mwingine, virusi vya mers-cov vimekuwa ndani ya ngamia warefu kwa muda wa miongo.

English

on the other hand, mers-cov has been introduced to dromedary camels for decades.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

virusi vya mers-cov vinatumika kama mfano bora wa usambazaji baina ya wanyama kutoka kwa popo hadi kwa ngamia warefu na kutoka kwa ngamia warefu hadi kwa binadamu.

English

mers-cov serves as an excellent example of interspecies transmission from bats to dromedary camels and from dromedary camels to humans.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tofauti ya protini hizi za wanyama wabebaji kati ya binadamu na wabebaji asilia wahifadhi wa virusi vya hcov kama vile popo, ngamia warefu zaidi na wanyama wagugunaji huenda ukawa kikwazo kwa usambazaji baina ya viumbe.

English

the divergence of these host proteins between humans and natural reservoir hosts of hcovs such as bats, dromedary camels and rodents might constitute a barrier to interspecies transmission.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pamoja na sars-cov-2, hii pia hutumika kwa mers-cov, virusi ambayo vimezoeleka vyema ndani ya ngamia warefu zaidi.

English

in addition to sars-cov-2, this also applies to mers-cov, which is well adapted to dromedary camels.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa upande mwingine, utafiti uliofanywa mashariki ya kati umeonyesha kwamba ngamia warefu zaidi kuwa na antibodi mahususi ya kusawazisha mers-cov, sawa na ngamia wa asili ya mashariki ya kati walio katika nchi nyingi za afrika.

English

on the other hand, studies in middle east have shown that dromedary camels are seropositive for mers-cov-specific neutralizing antibodies, same as camels of middle east origin in multiple african countries.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vinginevyo, ingawa virusi vya alpha-cov vinatumika kama kikoa cha jeni cha hcov-229e, alpaca na ngamia warefu zaidi huenda wanatumika kama wabebaji wa kati wa virusi wanaosambaza virusi kwa binadamu, hasa ilivyo katika hali ya mers-cov.

English

alternatively, whereas bat alpha-covs serve as the gene pool of hcov-229e, alpacas and dromedary camels might serve as intermediate hosts that transmit viruses to humans, exactly as in the case of mers-cov.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,401,295 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK