From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wauzaji na wasambaji wa kuku wa kienyeji dar es salaam
local poultry sellers and distributors in dar es salaam
Last Update: 2025-01-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ziara kwa wauzaji ulaya na marekani ya kilatini zilipungua kwa 40%.
visits to retailers in europe and latin america declined by 40%.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
wauzaji wa marekani kaskazini na mashariki ya kati waliona upungufu wa 50-60%.
north america and middle east retailers saw a 50–60% drop.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
nchini australia, janga hili kubwa lilitoa fursa mpya kwa wauzaji wa bidhaa nje ya nchi kuuza bidhaa kutoka australia nchini china.
in australia, the pandemic provided a new opportunity for daigou shoppers to sell australian products into china.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
hupata bidhaa na huduma mbalimbali kutaka kwa wauzaji na wasambazaji wa nje ya kampuni. kutokana na kufanya hivyo kampuni hy inaweka kumbukumbu na recod na maelezo ya ununuzi kutoka kwa wauzaji wa idara kufalani toifauti na yao wenyewe
finds a wide range of products and services on demand from outside retailers and distributors. as a result, the company keeps records and recods and purchase details from suppliers of different departments.
Last Update: 2021-01-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mfano, wauzaji hawauzi tiketi kutoka uchina hadi marekani (hiyo ni kwa sababu ya kuepuka kukiuka vikwazo na kushindwa kupata ndege ya abiria ya kutoka)
for instance, most aggregators are not selling tickets from china to the united states (presumably to avoid falling afoul of restrictions and being on the hook for a passenger's flight out).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
russell zimmerman, mkurugenzi mtendaji wa shirika la wauzaji rejareja nchini australia, alisema kwamba wauzaji rejareja wajaribu kuongeza bidhaa, lakini vizuizi vya baraza la mitaa kuhusu wakati wa kuwasilisha bidhaa kwa gari vililemaza rai yake.
russell zimmerman, executive director of the australian retailers association, said that retailers try to raise stock, but local council restrictions on the timing of truck-deliveries make it hard.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
domain.com, eneo la makazi, iliripoti kwamba baadhi ya wauzaji wa mali walitoa karatasi shashi kwa dalali wa kwanza katika mnanda kule melbourne, wakati minada michache ilifanywa kwa sababu ya wanunuzi kupata likizo kutokana na wikendi mrefu wa siku ya leba.
domain.com, a real estate site, reported some property sellers offering free toilet paper to the first bidder on auctions in melbourne, when fewer auctions were held because of buyers having time off on the long weekend of labour day.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wauzaji wa rejareja wa kimataifa kama vile walmart, h&m, sears, gap, tommy hilfiger na mitindo mingine maarufu huagiza nguo zao kutoka bangladesh zikiwa na kibandiko cha"imetengenezwa bangladesh", ambayo ni sifa kubwa kwa nchi hii.
international retailers walmart, h&m, sears, gap, tommy hilfiger and many other renowned brands outsource their cloths from bangladesh, bearing the tag "made in bangladesh", a pride for the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting