Results for yesu na kai translation from Swahili to English

Swahili

Translate

yesu na kai

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ya yesu ya yesu na

English

the lord jesus christ and

Last Update: 2023-06-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

buana yesu na asifiwe

English

he admits all of them

Last Update: 2022-05-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bwana yesu, yesu na asifiwe

English

Last Update: 2020-08-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilipokuwa jioni, yesu na wanafunzi wake waliondoka mjini.

English

and when even was come, he went out of the city.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

neema ya bwana bwana yesu na upendo wa mungu baba

English

the grace of the lord jesus and the love of god the father

Last Update: 2024-03-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni dhahiri, yesu na mama yake wameamua kuhamia kwenye mitaa inayofuatana.

English

apparently, jesus and his mother have moved into two neighborhoods that are next to each other.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mama yake yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kutaka kumwona.

English

there came then his brethren and his mother, and, standing without, sent unto him, calling him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana nasikia habari za imani yako kwa bwana wetu yesu na upendo wako kwa watu wote wa mungu.

English

hearing of thy love and faith, which thou hast toward the lord jesus, and toward all saints;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini yeye akitaka kujihakikishia kuwa mwema akamwuliza yesu, "na jirani yangu ni nani?"

English

but he, willing to justify himself, said unto jesus, and who is my neighbour?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alikuwa amesikia habari za yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.

English

when she had heard of jesus, came in the press behind, and touched his garment.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya galilaya. yesu hakupenda watu wajue alipokuwa,

English

and they departed thence, and passed through galilee; and he would not that any man should know it.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hapo huyo mwanamke, akifahamu yaliyompata, akajitokeza akitetemeka kwa hofu, akajitupa chini mbele ya yesu na kusema ukweli wote.

English

but the woman fearing and trembling, knowing what was done in her, came and fell down before him, and told him all the truth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kutoka kwangu mimi paulo, mtumishi wa kristo yesu, na mtume niliyeteuliwa na kuitwa kwa ajili ya kuhubiri habari njema ya mungu.

English

paul, a servant of jesus christ, called to be an apostle, separated unto the gospel of god,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pilato akaingia tena ndani ya ikulu, akamwita yesu na kumwuliza: "ati wewe ndiye mfalme wa wayahudi?"

English

then pilate entered into the judgment hall again, and called jesus, and said unto him, art thou the king of the jews?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu na wanafunzi wake walikuwa mezani kwa chakula cha jioni. ibilisi alikwisha mtia yuda, mwana wa simoni iskarioti, nia ya kumsaliti yesu.

English

and supper being ended, the devil having now put into the heart of judas iscariot, simon's son, to betray him;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini kwa sababu ya upendo, ni afadhali zaidi nikuombe. nafanya hivi ingawa mimi ni paulo, balozi wa kristo yesu, na sasa pia mfungwa kwa ajili yake.

English

yet for love's sake i rather beseech thee, being such an one as paul the aged, and now also a prisoner of jesus christ.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kisha yesu na wanafunzi wake walikwenda katika vijiji vya kaisarea filipi. walipokuwa njiani, yesu aliwauliza wanafunzi wake, "watu wanasema mimi ni nani?"

English

and jesus went out, and his disciples, into the towns of caesarea philippi: and by the way he asked his disciples, saying unto them, whom do men say that i am?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadaye, yesu alikuwa amekaa mezani, nyumbani kwa lawi, kula chakula. watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuwa wamemfuata yesu na wengi wao wakawa wamekaa mezani pamoja naye na wanafunzi wake.

English

and it came to pass, that, as jesus sat at meat in his house, many publicans and sinners sat also together with jesus and his disciples: for there were many, and they followed him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya kushuka mlimani pamoja na mitume, yesu alisimama mahali palipokuwa tambarare. hapo palikuwa na kundi kubwa la wanafunzi wake na umati wa watu waliotoka pande zote za yudea na yerusalemu na pwani ya tiro na sidoni. wote walifika kumsikiliza yesu na kuponywa magonjwa yao.

English

and he came down with them, and stood in the plain, and the company of his disciples, and a great multitude of people out of all judaea and jerusalem, and from the sea coast of tyre and sidon, which came to hear him, and to be healed of their diseases;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mambo dada angu, mungu akusimamie ulale salama uwamke salama ukiwa na nguvu na afya tele, pia nakutakia mitihani mema unayo anza kesho mungu wa mbinguni akupe kumbukumbu ya yote iliyo yasoma ukapate kufanya vema...katika jina la yesu na omba amen! uwe na usiku mwema pia nakupenda dada angu..

English

my sister, may you rest in peace and rest in peace, in the name of jesus and in prayer, amen! have a good night and love you too.

Last Update: 2023-05-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,927,609,381 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK