From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mutasharrid (mtu asiye na makazi) yupo huko khan younis, na ana hasira:
mutasharrid (‘homeless person’ or ‘vagrant’) is in khan younis, and is angry:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika ujumbe wake wa tatu, anasimulia kwa undani mazungumzo ya simu na wanafamlia wake walioko gaza, akilinganisha hali ilivyo kutokea jijini gaza mpaka khan younis.
in a third post, he details calls with several family members across gaza, comparing the situation on the ground from gaza city to khan younis.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alisema anga imekuwa kimya kwa muda wa saa moja na nusu hivi huko khan younis, lakini meli za kivita zilikuwa zinaendelea kushambulia sehemu za mwambao.sauti yake likuwa imara, kama vile ilivyokuwa wakati wowote kabla ya mauaji kuanza, na aliniambia nisihofu sana.
he said the sky had been quiet for about half an hour over khan younis, but the warships were attacking the shore. his voice was strong, just like it was when i'd talk to him at any time before the massacre began, and told me to not worry so much.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: