Results for mwanamume translation from Swahili to Esperanto

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Esperanto

Info

Swahili

mwanamume

Esperanto

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Esperanto

Info

Swahili

mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume.

Esperanto

cxar viro ne estas el virino, sed virino el viro;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe,

Esperanto

tial viro forlasos sian patron kaj sian patrinon, kaj aligxos al sia edzino,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini tangu kuumbwa ulimwengu, mungu aliumba mwanamume na mwanamke.

Esperanto

sed de la komenco de la kreo:li faris ilin vira kaj virina.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya.

Esperanto

sed mi ne permesas al virino instruadi, nek regi super viro, sed esti en kvieteco.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila mwanamume anapaswa kujua namna ya kuishi na mkewe kwa utakatifu na heshima,

Esperanto

ke cxiu el vi sciu preni al si sian propran ajxon en sankteco kaj honoro,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, ila mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamume.

Esperanto

cxar ankaux viro ne estas kreita por virino, sed virino por viro;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, mbele ya bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume si kitu bila mwanamke.

Esperanto

tamen ne ekzistas virino sen viro, nek viro sen virino, en la sinjoro.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikuwa akidai mshahara wake, mwanamume huyo alikataa, na ndipo kwa hasira, alimsukuma msichana huyo.

Esperanto

Ŝi postulis sian salajron kaj la viro, rifuzinte pagi ĝin, verŝajne puŝfaligis ŝin pro kolerego.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kila mwanamume anayesali au anayetangaza ujumbe wa mungu huku amefunika kichwa chake, huyo anamdharau kristo.

Esperanto

cxiu viro, pregxanta aux profetanta kun kapo kovrita, malhonoras sian kapon.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vile mwanamke alivyotokana na mwanamume, vivyo hivyo mwanamume huzaliwa na mwanamke; kila kitu hutoka kwa mungu.

Esperanto

cxar kiel virino estas el viro, tiel same ankaux estas viro per virino; sed cxio estas el dio.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini napenda pia mjue kwamba kristo ni kichwa cha kila mwanamume, na mwanamume ni kichwa cha mkewe, na mungu ni kichwa cha kristo.

Esperanto

sed mi volas sciigi vin, ke la kapo de cxiu viro estas kristo; kaj la kapo de virino estas viro; kaj la kapo de kristo estas dio.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na akasema: kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?

Esperanto

kaj diris:tial viro forlasos sian patron kaj sian patrinon, kaj aligxos al sia edzino; kaj ili estos unu karno?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haifai mwanamume kufunika kichwa chake, kwa kuwa yeye ni mfano wa mungu na kioo cha utukufu wake mungu; lakini mwanamke ni kioo cha utukufu wa mwanamume.

Esperanto

cxar viro devas ne havi la kapon vualita, pro tio, ke li estas la bildo kaj gloro de dio; sed virino estas la gloro de viro.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, hakuna tena tofauti kati ya myahudi na mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. nyote ni kitu kimoja katika kuungana na kristo yesu.

Esperanto

ne estas ja judo nek greko, ne estas sklavo nek liberulo, ne estas ja vira kaj virina; cxar vi cxiuj estas unu en kristo jesuo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akawaambia, "sikilizeni! mtakapokuwa mnakwenda mjini, mtakutana na mwanamume anayebeba mtungi wa maji. mfuateni mpaka ndani ya nyumba atakayoingia.

Esperanto

kaj li diris al ili:jen kiam vi estos enirintaj en la urbon, vin renkontos viro, portanta krucxon da akvo; lin sekvu en la domon, en kiun li eniros.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama yasemavyo maandiko matakatifu: "kwa hiyo, mwanamume atawaacha baba na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja."

Esperanto

tial viro forlasos sian patron kaj sian patrinon, kaj aligxos al sia edzino, kaj ili du estos unu karno.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivyo mwanamke huyo akiishi na mwanamume mwingine wakati mumewe yungali hai, ataitwa mzinzi; lakini mumewe akifa, mwanamke huyo yu huru kisheria, na akiolewa na mwanamume mwingine, yeye si mzinzi.

Esperanto

se do, dum la edzo vivas, sxi kunigxas kun alia viro, sxi estos nomata adultulino; sed se la edzo mortis, sxi estas libera de la legxo, kaj ne estas adultulino, kvankam kunigxinte kun alia viro.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa wale wengine, (mimi binafsi, si bwana) nasema hivi: ikiwa mwanamume mkristo anaye mke asiyeamini, na huyo mwanamke akakubali kuendelea kuishi naye, asimpe talaka.

Esperanto

sed al la ceteraj diras mi, ne la sinjoro:se iu frato havas nekredantan edzinon, kaj sxi konsentas logxadi kun li, li ne forigu sxin.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,765,984 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK