From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
yosefu pia alifanya safari kutoka mjini nazareti mkoani galilaya. kwa kuwa alikuwa wa jamaa na ukoo wa daudi alikwenda mjini bethlehemu mkoani yuda alikozaliwa mfalme daudi.
siis läks ka joosep galileast naatsareti linnast üles juudamaale taaveti linna, mida hüütakse petlemaks, sest ta oli pärit taaveti kojast ning soost,
maandiko matakatifu yasemaje? yanasema: kristo atatoka katika ukoo wa daudi, na atazaliwa bethlehemu, mji wa daudi!"
eks kiri ütle, et kristus tuleb taaveti soost ja petlemast, alevist, kust oli taavet?”
kisha akawatuma bethlehemu akisema, "nendeni mkachunguze kwa makini habari za mtoto huyo. mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende nikamwabudu."
ja ta läkitas nad petlemma ning ütles: „minge kuulake hoolega lapsukese järele, ja kui te tema leiate, siis andke minule teada, et minagi läheksin teda kummardama!”
baada ya hao malaika kuondoka na kurudi mbinguni, wachungaji wakaambiana: "twendeni moja kwa moja mpaka bethlehemu tukalione tukio hili bwana alilotujulisha."
kui siis inglid olid läinud nende juurest ära taevasse, ütlesid karjased üksteisele: „läki nüüd petlemma ja vaadakem seda asja, mis on sündinud, mis issand on meile teada annud!”
herode alipogundua kwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa, alikasirika sana. akaamuru watoto wote wa kiume mjini bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yake wauawe. alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota.
kui nüüd heroodes nägi, et targad olid teda petnud, siis ta vihastus väga ja läkitas ning laskis tappa kõik poeglapsed petlemas ja kogu selle ümbruskonnas, kaheaastased ja nooremad, vastavalt ajale, mida ta tarkadelt oli hoolega uurinud.