Results for mwanawe translation from Swahili to Estonian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Estonian

Info

Swahili

mwanawe

Estonian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Estonian

Info

Swahili

mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: watamheshimu mwanangu.

Estonian

viimaks ta läkitas oma poja nende juure, mõteldes: küllap nad mu poega häbenevad.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa daudi anamwita yeye, bwana, basi atakuwaje mwanawe?"

Estonian

taavet nimetab siis teda issandaks, ja kuidas ta on tema poeg?”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, ikiwa daudi anamwita kristo bwana, anawezaje kuwa mwanawe?"

Estonian

kui nüüd taavet teda nimetab issandaks, kuidas ta siis on tema poeg?”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.

Estonian

„taevariik on kuninga sarnane, kes oma pojale pulmad tegi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama vile baba alivyo asili ya uhai, ndivyo pia alivyomjalia mwanawe kuwa asili ya uhai.

Estonian

sest otsegu isal on elu iseeneses, nõnda on ta annud ka pojale, et elu on temas eneses.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima.

Estonian

aga kui ta alles oli minemas, tulid ta sulased talle vastu ja kuulutasid ning ütlesid, et ta poeg elab.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wakati ule maalumu ulipotimia, mungu alimtuma mwanawe aliyezaliwa na mwanamke, akaishi chini ya sheria

Estonian

aga kui aeg täis sai, läkitas jumal oma poja, kes sündis naisest ja sai käsu alla,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alibakiwa bado na mtu mmoja, yaani mwanawe mpendwa. mwishowe akamtuma huyo akisema, watamheshimu mwanangu.

Estonian

tal oli veel üks, ta armas poeg. selle ta läkitas viimseks nende juure, üteldes: ehk nad häbenevad mu poega?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ndugu atamsaliti ndugu yake auawe, na baba atamsaliti mwanawe, nao watoto watawashambulia wazazi wao na kuwaua.

Estonian

siis vend annab venna surma ja isa oma lapse, ja lapsed hakkavad vastu vanemaile ja tapavad nad.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, akafika sukari, mji mmoja wa samaria, karibu na shamba ambalo yakobo alikuwa amempa mwanawe, yosefu.

Estonian

siis ta tuli samaaria linna, mida hüütakse sühhariks, põllu lähedale, mille jaakob oli annud oma pojale joosepile.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wale wakulima walipomwona mwanawe wakasemezana wao kwa wao: huyu ndiye mrithi; na tumuue ili tuuchukue urithi wake!

Estonian

aga kui aednikud nägid poega, ütlesid nad isekeskis: see on see pärija, tulge, tapame ta ära, siis saame tema pärandi enestele!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yosefu aliposikia kwamba arkelao mwanawe herode alikuwa mfalme wa yudea mahali pa baba yake, aliogopa kwenda huko. naye baada ya kuonywa katika ndoto, alikwenda katika mkoa wa galilaya,

Estonian

aga kui ta kuulis, et arhelaos valitseb judead oma isa heroodese asemel, siis ta kartis sinna minna. kuid ta sai unes jumalalt käsu ja siirdus galilea aladele

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini maandiko matakatifu yasemaje? yasema: "mfukuze mama mtumwa pamoja na mwanawe; maana mtoto wa mtumwa hatarithi pamoja na mtoto wa mama huru."

Estonian

aga mida ütleb kiri? „kihuta minema ümmardaja ja tema poeg, sest ümmardaja poeg ei või pärida ühes vaba naise pojaga!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,268,205 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK