Results for kufanywa translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

kufanywa

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

jaribio linaweza kufanywa kwa sampuli za kupumua au za damu.

French

le test peut être effectué sur des prélèvements respiratoires ou sanguins.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchanganyiko wa hatua za kuzuia kuongezeka na kuepukana huweza kufanywa pamoja.

French

des mesures d’endiguement et d’atténuation peuvent être prises en même temps.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kanisa katoliki limefanya mengi na linaendelea kufanya lakini mengi zaidi bado yanapaswa kufanywa.

French

l'eglise catholique a beaucoup fait et continue à beaucoup accomplir, mais il en reste encore beaucoup plus à faire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii inaweza kufanywa na mpokezi au mfanyakazi wa kimatibabu, kwa kutegemea utaratibu wa huduma binafsi.

French

il peut s’agir d’un membre du secrétariat ou du personnel clinique, selon le protocole de chaque cabinet.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huduma zingine za shule zitafunguliwa, lakini mafunzo imewekewa vikwazo na kufanywa kupitia njia za kimtandao.

French

d’autres services scolaires sont restés ouverts, mais l’enseignement est réduit à l’apprentissage à distance.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwani ubatilishwaji wa ndoa unaweza kufanywa na wale wenye uwezo wa “kulipia” utaratibu mzima.

French

parce que l'annulation n'est à la portée que de ceux qui peuvent “payer” la procédure.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haitoshi kubandika mabango ya ernesto che kwenye kuta zake ukadhania kutafakari ama kuelewa kile kinachostahili kufanywa ili kuachana na yote ili kuwa na siku njema.

French

ce n'est pas suffisant de coller des posters d'ernesto che sur nos murs pour prétendre comprendre qu'est-ce que cela veut dire de mettre tout au point, absolument tout, pour de meilleurs jours.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kusika neno la ukuta huu mkubwa wa moto wa marekani uliowaacha wataalamu wa alama hizo wa kichina wakishangaa ikiwa wanaweza kuanza kufungiwa kutoka kwenye nchi nyingine na kile kinachoweza kufanywa kuhusu suala hilo.

French

informés de la nouvelle "muraille" américaine de pare-feux informatiques, des informaticiens chinois se sont demandés si, désormais, ils ne seraient pas victimes à leur tour de la censure américaine et s'interrogent sur ce qu'ils peuvent faire à ce sujet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

gavana wa jimbo la marylanda alitoa kibali kwamba huduma mahususi za kutunza watoto zisalie kufunguliwa kwa ajili ya watoto wa wafanyakazi wa dharura huku jimbo la washington na california yaliwa yameacha uamuzi huo kufanywa na watoa huduma wa kutunza watoto.

French

le gouverneur du maryland a ordonné que des services de garde d’enfants spécifiques restent ouverts pour les enfants du personnel des services d’urgence, tandis que l’État de washington et la californie ont laissé cette décision à la discrétion des prestataires de soins.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliachiwa huru kutoka gerezani mwaka 1990, na kuwa rais miaka minne baadae, na kuachia madaraka baada ya kutumikia kwa kipindi kimoja tu, kitendo adimu kufanywa na wenye madaraka barani afrika.

French

libéré en 1990, il était devenu président 4 ans plus tard et avait quitté son poste à la fin de ce mandat, un geste rare dans le paysage politique africain.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchini uingereza, mapendekezo rasmi yanasema kuwa utengano wa tahadhari wa mama na mtoto mwenye afya haupaswi kufanywa kwa urahisi na wanapaswa kuwekwa pamoja katiki kipindi cha baada ya kujifungua ambapo utuzaji wa mtoto aliyezaliwa hauhitajiki. mwandishi kutoka uchina alipendekeza mama walioambukizwa kutenganishwa na watoto kwa siku 14.

French

au royaume-uni, les recommandations officielles indiquent que la séparation préventive d’une mère et de son nouveau-né sain ne doit pas être prise à la légère et qu’ils doivent rester ensemble pendant la période suivant l’accouchement si des soins de néonatalogie ne sont pas nécessaires. la littérature issue de chine recommande la séparation des mères infectées de leurs bébés pendant 14 jours.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katikati ya mwezi aprili, zaidi ya wasichana 200 wa shule walitekwa nyara kutoka shule ya sekondari iliyoko eneo la chibok, naijeria, kitendo kinachodaiwa kufanywa na boko haram, kundi la kigaidi lililoko katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo.

French

#bringbackourgirls. mi-avril, plus de 200 écolières ont été enlevées d'un collège à chibok par boko haram, un groupe terroriste basé dans le nord du pays.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

15) taarifa za matukio ya hadhara (mikutano, maandamano, matembezi, migomo, mikutano) iliyoandaliwa na kufanywa na shirika, pamoja na matukio ya umma ambayo shirika limejihusisha nayo.

French

15) informations concernant des événements publics de masse (meeting, manifestations, marches, grèves, rassemblements) organisés et dirigés par l'organisation, y compris les événements de masse auxquels l'organisation a pris part.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,125,007 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK