Results for kuridhisha translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

kuridhisha

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

tunachokifanya kinaweza kuridhisha sana, hasa wakati kama huu.

French

ce que nous faisons peut s’avérer incroyablement gratifiant, en particulier dans des périodes comme celle-ci.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ewe mola wangu mlezi! na umjaalie awe mwenye kuridhisha.

French

et fais qu'il te soit agréable, ô mon seigneur».

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninajua haikuwa kwa lengo la kuridhisha jamii, lakini ningependa angalau hukumu imefikia miaka kumi!

French

je sais, il ne s'agissait pas de satisfaire l'opinion publique, mais moi, j'aurais aimé qu'il en prenne au moins pour dix ans !

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanavijiji nchini uganda wanalalamika kuwa vipimo vilipelekwa nchini marekani tangu mwaka 2010 lakini hadi sasa bado hawajapata taarifa za kuridhisha kuhusiana na kinga pamoja na visababishi vya ugojwa huu.

French

les villageois ougandais se plaignent du fait que des prélèvements ont été emportés aux États-unis en 2010, mais qu’ils n’ont jamais reçu une quelconque information fiable quant au traitement et à la cause depuis cette date.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana tungaliweza kushtakiwa kwa kusababisha ghasia kutokana na vituko vya leo. ghasia hii haina msingi halali na hatungeweza kutoa sababu za kuridhisha za ghasia hiyo."

French

nous risquons, en effet, d`être accusés de sédition pour ce qui s`est passé aujourd`hui, puisqu`il n`existe aucun motif qui nous permette de justifier cet attroupement.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

uganda imeshapiga hatua kubwa katika miaka kadhaa iliyopita kwa kujenga majengo kwa ajili ya mifumo ya kusambaza dawa kwa jamii- vituo vya kuhifadhia na kusambazia dawa- lakini huduma za afya bado si za kuridhisha.

French

l’ouganda a fait de remarquables progrès au cours des dernières années en façonnant l’armature de son système public de distribution de médicaments - une réserve centrale et du personnel dans les points de distribution - mais la partie logistique n’est pas tout à fait au point.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa pamoja, michakato hii inajulikana katika utengenezaji wa kabla wa kimatibabu kama kemia, utengenezaji, na udhibiti (cmc). hali nyingi za utengenezaji wa dawa zinalenga kuridhisha mahitaji ya kisheria ya mamlaka ya inayotoa leseni ya dawa.

French

dans le développement clinique et préclinique, ces processus sont regroupés sous le nom de chimie, fabrication et contrôle (cfc). de nombreux aspects du développement d’un médicament se concentrent sur la satisfaction des exigences réglementaires des autorités d’homologation des médicaments.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,762,733,980 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK