Results for mizunguko translation from Swahili to French

Swahili

Translate

mizunguko

Translate

French

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

mapindo na mizunguko ya habari hii vimekuwa kama vurumai kwa vyombo vya habari na wazi wanablogu hawako nyuma sana.

French

les péripéties et rebondissements de l'affaire ont semé la pagaille dans les médias et à l'évidence les blogueurs ne sont pas en reste.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu walitafuta kwenye mabenchi ya bustani hiyo, kwenye mizunguko ya katikati ya bustani na kati kati ya mizizi ya miti, na hata kuwafuata watu waliokuwa wanakuja bustanini hapo ili kupata vitabu hivyo.

French

les visiteurs se sont mis à regarder derrière les bancs du parc, ont fouillé le parterre central, entre les racines des arbres, et ont même approché ceux qui arrivaient dans le parc pour recevoir directement les livres.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kenya pia inajulikana kwa wanyamapori na mizunguko ya kitalii na ndio sehemu zilipo mbuga maasai mara pamoja na maeneo mengine mashuhuri ya kitalii (kwa maelezo zaidi angalia magicalkenya tovuti ya shirika la kitalii la kenya).

French

le kenya est également bien connu pour sa faune et ses circuits touristiques au cœur de maasai mara et d'autres célèbres sites touristiques d'intérêt mondial (pour plus d'informations sur les opportunités de tourisme du kenya visitez le site magicalkenya (kenya magique), le site web du conseil du tourisme officiel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huko jos, machafuko yanaelekea kujitokeza katika mizunguko inayozidi kuwa midogo: machafuko mabaya yaliukumba mji huo mwaka 1994, 2001, 2008, na – hata miezi miwili iliyopita – mnamo mwezi januari 2010.

French

a jos, les affrontements semblent réapparaître en cycles de plus en plus rétrécis : des émeutes meurtrières ont secoué la ville en 1994, 2001, 2008 et, il y a moins de deux mois, en janvier 2010.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,910,654,108 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK