Results for sijaelewa kwa kweli translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

sijaelewa kwa kweli

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kwa kweli inanitia kichefuchefu.

French

j'ai sincèrement la nausée.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kweli jambo hili linanihuzunisha sana.

French

cela m'attriste profondément.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini kwa kweli, huwa hawafanyi hivi.

French

non, mais justement, on ne le laisse pas faire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

atakumbukwa sana na kwa kweli hatasahaulika kamwe.

French

il va beaucoup nous manquer mais on ne l'oubliera jamais.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kweli anajisikia tu kutokueleweka na kutokuugwa mkono.

French

vraiment, il se sent juste incompris et privé de soutien.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wasomee khabari za wana wawili wa adam kwa kweli.

French

et raconte-leur en toute vérité l'histoire des deux fils d'adam.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

itakuwa hivyo, kwa kweli, ikiwa hayatafungwa kwanza.

French

a condition qu'elles ne soient pas fermées avant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na yametimia maneno ya mola mlezi wako kwa kweli na uadilifu.

French

et la parole de ton seigneur s'est accomplie en toute vérité et équité.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kweli walikuwa wakarimu na walikuwa na hamu ya kupigwa picha.

French

en fait, ils étaient pour la plupart cordiaux et ravis qu'on les prennent en photo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.

French

si quelqu`un croit savoir quelque chose, il n`a pas encore connu comme il faut connaître.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kweli, uhalisia ni kuwa, hili ni jambo la wazi kabisa la kisaikolojia.

French

bien sûr la réalité est que tout ceci est évidemment psychologique.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kweli ni sahihi kusema chama cha muslim brotherhood kinafuata nyayo za serikali ya mubarak na scaf.

French

bien-sur, il faut dire que les frères musulmans suivent le même chemin que le régime de moubarak et que le scaf (l'armée).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hiki ni kikwazo kingine kwa haki za binadamu nchini misri na kwa kweli hakitahamasisha watu kuja nchini au kuwekeza.

French

c'est un autre échec pour les droits de l'homme en egypte et en fait cela n'encouragera pas les gens à venir dans ce pays ou a y investir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kweli, wana utashi huru wa ama kujadidisha mkataba wao wa ndoa au kuitupa hiyo karatasi baada ya miaka 10.

French

en fait, ils auront le libre choix de renouveler le contrat de mariage, ou de jeter le contrat à la poubelle après dix ans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa ushauri wa wanasheria wangu, nimelazimika kuikimbia nchi bila kutaka na kwa kweli nikiwa na hasira mpaka rufaa itakapotatuliwa.

French

sur conseil de mes avocats, je me suis exilé à contre coeur et de colère jusqu'à ce que les recours en appel soient enregistrés. #procesong

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kweli walifikiri kuwa wanafuata utaratibu, lakini walihojiwa na kufukuzwa nchini bila ya muda wa kufungasha na kusema kwa heri kwa watoto.

French

pensaient sincèrement qu'ils agissaient en conformité avec la loi, mais ils ont été interrogés et expulsés du pays sans avoir le temps de faire leurs bagages ou de dire au revoir à leurs enfants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huwa wa kwanza kwenda kwenye eneo la tukio akiwa na habari za wakati husika, lakini kwa kweli haiwezekani mtu mmoja kufanya zaidi.

French

il est le premier sur les lieux et propose d’importantes informations. malgré tout, une personne ne suffit pas. la croix-rouge réalise un travail extraordinaire, mais rencontre toutefois quelques problèmes car de nombreuses procédures se font encore sur papier.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haistaajabishi, kwa kweli, kama ukifikiria ukweli wa kuishi kwenye maegesho ya magari bila ya maliwato huku ukiwa umezungukwa na mamia ya watu.

French

pas surprenant, vraiment, quand vous pensez aux réalités quotidiennes de la vie sur une aire de parking sans toilettes, entouré de centaines d'autres personnes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kwa kweli lilikuwa tukio la kuamsha hisia kali kwani hata mawaziri wa serikali waliokuwepo walitiririkwa na machozi, wakikumbuka yaliyotokea kipindi hicho na hasa kwa kuwapoteza watu waliowapenda.

French

même les ministres du gouvernement ont versé des larmes, se souvenant de ce qu'ils avaient vécu et des êtres chers disparus.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kweli, kukosekana kwa maoni mabaya kunapelekea wengi kuamini kuwa jamii, au kwa uchache ile iliyo kwenye mtandao, ilikuwa tayari kwa ajili ya kipindi kama kile.

French

en fait, le manque de réactions hostiles a poussé beaucoup à penser que la société, ou du moins la partie qui réagit en ligne, était prête pour une telle émission.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,788,838,908 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK