Results for dhaahiri translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

hakika yeye ni adui yenu dhaahiri.

German

er ist euch ein deutlicher feind.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika tumekufungulia ushindi wa dhaahiri

German

gewiß, wir haben dir einen deutlichen sieg verliehen,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika yeye ni adui yenu wa dhaahiri.

German

er ist euch ein offenkundiger feind.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri.

German

das ist die offenkundige prüfung.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri?

German

warum bringen sie dann keinen klaren beweis dafür?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuwa yeye ila ni mwonyaji aliye dhaahiri.

German

er ist nichts anderes als ein deutlicher warner.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika baba yetu yumo katika upotofu wa dhaahiri.

German

gewiß, unser vater ist doch eindeutig irriger ansicht.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini madhaalimu sasa wamo katika upotofu ulio dhaahiri.

German

aber die ungerechten befinden sich heute in einem deutlichen irrtum.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakasema makafiri: hakika huyu ni mchawi dhaahiri!

German

die kafir sagten: "gewiß, dies ist wahrhaftig ein offenkundiger magier!"

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.

German

dann befände ich mich wahrlich in einem offenkundigen irrtum.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi akaitupa fimbo yake, na mara ikawa nyoka dhaahiri.

German

da warf er seinen stock nieder, und da war dieser (auf einmal) eine leibhaftige schlange.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wallahi! kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri,

German

"bei allah, wir befanden uns wahrlich in deutlichem irrtum,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwenye kujua siri na dhaahiri, mwenye nguvu, mwenye hikima.

German

(er ist) der kenner des verborgenen und des offenbaren, der allmächtige und allweise.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanajua hali ya dhaahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika na akhera.

German

sie kennen nur die außenseite des diesseitigen lebens; das jenseits aber beachten sie gar nicht.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,935,900,371 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK