Results for mifugo translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

kwa manufaa yenu na mifugo yenu.

German

als nießbrauch für euch und für euer vieh.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na akakuleteeni wanyama wa mifugo jozi nane.

German

und er hat für euch an vieh acht (tiere) in paaren herabgesandt.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

timizeni ahadi. mmehalalishiwa wanyama wa mifugo, ila wale mnao tajiwa.

German

o ihr, die ihr glaubt, erfüllt die verträge.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na katika watu, na wanyama, na mifugo, pia rangi zao zinakhitalifiana.

German

auch (erschufen wir) von den menschen, den tieren und den an'am, deren farben vielfältig sind.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao.

German

und es waren hirten in derselben gegend auf dem felde bei den hürden, die hüteten des nachts ihre herde.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mmehalalishiwa wanyama wa mifugo, ila wale mnao tajiwa. lakini msihalalishe kuwinda nanyi mmo katika hija.

German

erlaubt (zu essen) sind euch die vierfüßler unter dem vieh, außer dem, was euch verlesen wird, ohne daß ihr jedoch das jagdwild als erlaubt betrachtet, während ihr im zustand der pilgerweihe seid.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenyezi mungu aliye kujaalieni nyama hoa, mifugo, ili muwapande baadhi yao, na muwale baadhi yao.

German

allah ist derjenige, der für euch an'am machte, damit ihr auf manchen von ihnen reitet, und von ihnen speist.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je! hawaoni kwamba tumewaumbia kutokana na iliyo fanya mikono yetu wanyama wa mifugo, na wao wakawa wenye kuwamiliki.

German

haben sie denn nicht gesehen, daß wir ihnen unter dem, was unsere hände gemacht haben, herdentiere erschaffen haben, über die sie verfügen?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya miaka kadhaa kupita, tembo huyu atajitwalia jina jingine kupitia mchakato unaoelezewa na afisa mifugo afahamikaye kwa jina la emmanuelle chave:

German

in ein paar jahren wird er sich seinen neuen namen aussuchen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wamepambiwa kupenda matamanio ya wanawake, na wana, na mirundi ya dhahabu na fedha, na farasi asili, na mifugo, na mashamba.

German

ausgeschmückt ist den menschen die liebe zu den begierden, nach frauen, söhnen, aufgehäuften mengen von gold und silber, rassepferden, vieh und saatfeldern.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na miongoni mwenu atakaye muuwa makusudi, basi malipo yake yatakuwa kwa kuchinja kilicho sawa na alicho kiuwa, katika mifugo, kama wanavyo hukumu waadilifu wawili miongoni mwenu.

German

und wer von euch es vorsätzlich tötet, so ist die vergeltung (dafür) gleiches von den an'am wie das, was man getötet hat, - darüber befinden zwei redliche von euch - als hady-opfertier, das bei der ka'ba geopfert wird.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, mwanajeshi gani anayelipia utumishi wake jeshini? mkulima gani asiyekula matunda ya shamba lake la mizabibu? mchungaji gani asiyekunywa maziwa ya mifugo yake?

German

wer zieht jemals in den krieg auf seinen eigenen sold? wer pflanzt einen weinberg, und ißt nicht von seiner frucht? oder wer weidet eine herde, und nährt sich nicht von der milch der herde?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au, labda wewe wajifanya mkuu kuliko babu yetu yakobo? yeye alitupa sisi kisima hiki; na yeye mwenyewe, watoto wake na mifugo yake walikunywa maji ya kisima hiki."

German

bist du mehr denn unser vater jakob, der uns diesen brunnen gegeben hat? und er hat daraus getrunken und seine kinder und sein vieh.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na miongoni mwenu atakaye muuwa makusudi, basi malipo yake yatakuwa kwa kuchinja kilicho sawa na alicho kiuwa, katika mifugo, kama wanavyo hukumu waadilifu wawili miongoni mwenu. mnyama huyo apelekwe kwenye al kaaba, au kutoa kafara kwa kuwalisha masikini; au badala ya hayo ni kufunga, ili aonje ubaya wa jambo lake hili.

German

und (wenn) einer von euch ein tier vorsätzlich tötet, so ist die ersatzleistung (dafür) ein gleiches maß vom vieh, wie das, was er getötet (hat), nach dem spruch von zwei redlichen unter euch, und das soll dann als opfertier zu der ka`ba gebracht werden; oder die sühne sei die speisung von armen oder dementsprechendes fasten, damit er die bösen folgen seiner tat koste.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,852,099,306 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK