Results for mapambano translation from Swahili to Italian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Italian

Info

Swahili

mapambano

Italian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

mapambano hayo sasa yapo mikononi mwenu.

Italian

È tutto in mano vostra.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mapambano, wakati mwingine makabiliano, mafaniniko mara nyingi.

Italian

la lotta, qualche volta la sconfitta, spesso il successo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wazo kuu linalowaunganisha ni kuonyesha hasira na mapambano dhidi ya polisi.

Italian

temi comuni sono l'espressione della rabbia e lo scontro con la polizia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mapambano hayo ya umoja pia yanajumuisha watu kutoka kada tofauti za maisha.

Italian

la lotta unificante include anche gente appartenente a ceti sociali diversi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wasanii na washairi wa mji huo wanatumbuiza kila usiku kwa ajili ya kuwachochea waendelee na mapambano yao kwa ya kudai haki zao.

Italian

gli artisti ed i poeti si esibiscono per loro ogni sera al fine di incitarli a continuare la lotta per i loro diritti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa ni wakati wa vizazi vya sasa na vijavyo kuendeleza mapambano yetu dhidi ya utovu wa haki na kwa ajili ya haki za binadamu wote.

Italian

tocca ora alle prossime generazioni proseguire la lotta contro l'ingiustizia sociale e per i diritti dell'umanità.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walihatarisha maisha yao; mapambano yao yalikuwa ni uthubutu, ukizingatia ukweli kuwa walikuwa wanashughulika na masuala ya kufa na kupona.

Italian

hanno rischiato; le loro erano attività ardite, dopo tutto riguardavano questioni di vita o di morte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vijana wadogo wanakufa mitaani kufuatia mapambano kati ya waandamanaji dhidi ya polisi na wafuasi wengine wa serikali. ndugu wanapigana dhidi ya ndugu wenzao.

Italian

i protestanti manifestano per la libertà e chiedono che i loro diritti siano rispettati.i giovani muoiono per le strade mentre la polizia e i sostenitori del governo li combattono.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

reeyot alemu, baada ya mapambano magumu na utawala wa gereza na baada ya vyombo vya habari kufunua ukweli huo, sasa anaruhusiwa kupata masomo kwa njia ya masafa.

Italian

dopo una dura lotta con gli amministratori della prigione e la diffusione della storia sui media, reeyot alemu può ora ricevere istruzione a distanza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

licha ya kupoteza mapato kufuatia mlipuko wa kushtukiza wa ugonjwa huu pamoja na athari zinazokabili maisha ya kila siku, vyombo vya habari vimeendelea kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu.

Italian

nonostante la perdita di entrate dovuta all'emergenza per l'epidemia e l'effetto sulla vita di tutti i giorni, i media hanno continuato a impegnarsi in questa battaglia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati mimi nafahamu na kuheshimu mapambano ya nelson mandela na kule kuwa mfungwa wa kisiasa ndani ya nchi yake mwenyewe kwa sehemu kubwa ya maisha yake, lakini sifahamu itikadi zake za kisiasa baada ya kifungo na urafiki aliokuwa nao na baadhi ya viongozi wabovu wa dunia.

Italian

mentre apprezzo e rispetto le battaglie di nelson mandela e il suo essere stato prigioniero politico nel proprio paese per parecchi anni della sua vita, non sono del tutto all'oscuro della sua ideologia politica dopo la prigionia, e di tutte le amicizie che ha avuto con alcuni dei più disgustosi leader mondiali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo ujasiri wa wanawake waliojitokeza kutokas kwenye vivuli haujapewa nafasi ya kutosha kwenye vyombo vya habari, kwa mujibu wa megan kearns anayeandika kwenye "mapambano mitaani: wanawake wa misri wanaipinga serikali bega kwa bega na wanaume lakini kuna picha chache tu za wananawake": usiku baada ya usiku, wanawake na wanaume wameidharau amri ya kutotembea jijini cairo, na kukusanyika katika viwanja vya tahrir, au viwanja vya ukombozi.

Italian

eppure il coraggio dimostrato dalle donne nell'uscire fuori dall'ombra non ha ricevuto la giusta attenzione da parte dei mass media, secondo megan kearns che scrive in "taking it to the streets: egyptian women protest the government alongside the men yet few images of women" (scendono in strada: le donne egiziane protestano contro il governo accanto agli uomini, ma poche immagini a raffigurarle):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,792,232,372 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK