Results for nilimwona translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

yeye akawaambia, "nilimwona shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni.

Japanese

彼らに言われた、「わたしはサタンが電光のように天から落ちるのを見た。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

huu ndio ushahidi yohane alioutoa: "nilimwona roho akishuka kama njiwa kutoka mbinguni na kutua juu yake.

Japanese

ヨハネはまたあかしをして言った、「わたしは、御霊がはとのように天から下って、彼の上にとどまるのを見た。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nilimwona bwana akiniambia: haraka! ondoka yerusalemu upesi kwa maana watu wa hapa binadamu hawataukubali ushuhuda wako juu yangu.

Japanese

主にまみえたが、主は言われた、『急いで、すぐにエルサレムを出て行きなさい。わたしについてのあなたのあかしを、人々が受けいれないから』。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya hayo, nilimwona malaika mwingine akishuka kutoka mbinguni. alikuwa na uwezo mkuu, na dunia ikamulikwa na mng'ao wake.

Japanese

この後、わたしは、もうひとりの御使が、大いなる権威を持って、天から降りて来るのを見た。地は彼の栄光によって明るくされた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana daudi alisema juu yake hivi: nilimwona bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia, na hivyo sitatikisika.

Japanese

ダビデはイエスについてこう言っている、『わたしは常に目の前に主を見た。主は、わたしが動かされないため、わたしの右にいて下さるからである。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,886,502 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK