Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nao wakasema, "mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha."
qui dixerunt moses permisit libellum repudii scribere et dimitter
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha akamwamuru yule jemadari amweke paulo kizuizini, lakini awe na uhuru kiasi, na rafiki zake wasizuiwe kumpatia mahitaji yake.
iussitque centurioni custodiri eum et habere requiem nec quemquam prohibere de suis ministrare e
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini atakayekunywa maji nitakayompa mimi, hataona kiu milele. maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji ya uzima na kumpatia uzima wa milele."
sed aqua quam dabo ei fiet in eo fons aquae salientis in vitam aeterna
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
labda utasema: "ikiwa ukosefu wa uaminifu kwa upande wangu unamdhihirisha mungu kuwa mwaminifu zaidi na hivyo kumpatia utukufu, basi singepaswa kuhukumiwa kuwa mwenye dhambi!"
si enim veritas dei in meo mendacio abundavit in gloriam ipsius quid adhuc et ego tamquam peccator iudico
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting