Results for mbingu translation from Swahili to Latin

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

mbingu

Latin

caelum

Last Update: 2014-03-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mbingu na dunia vitapita, lakini maneno yangu hayatapita.

Latin

caelum et terra transibunt verba autem mea non transien

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.

Latin

et erunt stellae caeli decidentes et virtutes quae sunt in caelis movebuntu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

Latin

caelum et terra transibunt verba autem mea non transibun

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

naam, mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

Latin

caelum et terra transibunt verba vero mea non praeteribun

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na anayeapa kwa mbingu ameapa kwa kiti cha enzi cha mungu, na kwa huyo aketiye juu yake.

Latin

et qui iurat in caelo iurat in throno dei et in eo qui sedet super eu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mara tu alipotoka majini, aliona mbingu zimefunguliwa, na roho akishuka juu yake kama njiwa.

Latin

et statim ascendens de aqua vidit apertos caelos et spiritum tamquam columbam descendentem et manentem in ips

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini ni rahisi zaidi mbingu na dunia kupita, kuliko hata herufi moja ya sheria kufutwa.

Latin

facilius est autem caelum et terram praeterire quam de lege unum apicem cader

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini sisi, kufuatana na ahadi yake, twangojea mbingu mpya na dunia mpya ambayo imejaa uadilifu.

Latin

novos vero caelos et novam terram et promissa ipsius expectamus in quibus iustitia habita

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini mimi nawaambieni, msiape kamwe; wala kwa mbingu, maana ni kiti cha enzi cha mungu;

Latin

ego autem dico vobis non iurare omnino neque per caelum quia thronus dei es

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

watu watazirai kwa sababu ya uoga, wakitazamia mambo yatakayoupata ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.

Latin

arescentibus hominibus prae timore et expectatione quae supervenient universo orbi nam virtutes caelorum movebuntu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mungu, aliyeumba ulimwengu na vyote vilivyomo, ni bwana wa mbingu na nchi; yeye hakai katika hekalu zilizojengwa na watu.

Latin

deus qui fecit mundum et omnia quae in eo sunt hic caeli et terrae cum sit dominus non in manufactis templis inhabita

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kisha nikaona kiti cha enzi kikubwa cheupe, na yule aketiye juu yake. dunia na mbingu vikatoweka mbele ya macho yake, na havikuonekana tena.

Latin

et vidi thronum magnum candidum et sedentem super eum a cuius aspectu fugit terra et caelum et locus non est inventus ab ei

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia.

Latin

amen quippe dico vobis donec transeat caelum et terra iota unum aut unus apex non praeteribit a lege donec omnia fian

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yesu akaendelea kusema, "nawaambieni kweli, mtaona mbingu zinafunguka na malaika wa mungu wakipanda na kushuka juu ya mwana wa mtu."

Latin

et dicit ei amen amen dico vobis videbitis caelum apertum et angelos dei ascendentes et descendentes supra filium homini

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakati huo yesu alisema, "nakushukuru ee baba, bwana wa mbingu na dunia, maana umewaficha wenye hekima mambo haya, ukawafumbulia watoto wadogo.

Latin

in illo tempore respondens iesus dixit confiteor tibi pater domine caeli et terrae quia abscondisti haec a sapientibus et prudentibus et revelasti ea parvuli

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

siku ya bwana itakuja kama mwizi. siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake.

Latin

adveniet autem dies domini ut fur in qua caeli magno impetu transient elementa vero calore solventu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

saa ileile, yesu akafurahi kwa uwezo wa roho mtakatifu, akasema, "nakushukuru ee baba, bwana wa mbingu na dunia, kwa kuwa umewaficha wenye hekima na elimu mambo haya, ukawafumbulia wadogo. naam, baba, ndivyo ilivyokupendeza."

Latin

in ipsa hora exultavit spiritu sancto et dixit confiteor tibi pater domine caeli et terrae quod abscondisti haec a sapientibus et prudentibus et revelasti ea parvulis etiam pater quia sic placuit ante t

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,777,729,744 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK