Results for wengine translation from Swahili to Latvian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latvian

Info

Swahili

watendeeni wengine kama mnavyotaka wawatendee ninyi.

Latvian

un kā jūs vēlaties, lai ļaudis jums dara, tāpat jūs dariet viņiem.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.

Latvian

bet pārējie satvēra viņa kalpus, nonicināja tos un nonāvēja.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipomwona, wakamwabudu, ingawa wengine walikuwa na mashaka.

Latvian

un tie, viņu ieraudzījuši, pielūdza viņu, bet daži šaubījās.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.

Latvian

un citi ticēja tam, kas tika runāts, bet citi neticēja.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na mungu;

Latvian

netiesājiet, lai jūs netiktu tiesāti!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema:

Latvian

un daži cēlās un nepareizi liecināja pret viņu, sacīdami:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wanaotenda dhambi waonye hadharani, ili wengine wapate kuogopa.

Latvian

tos, kas grēko, norāj visu klātbūtnē, lai arī citi bītos!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengine wakasema, "acha tuone kama eliya anakuja kumwokoa."

Latvian

bet citi sacīja: pagaidi, redzēsim, vai elijs nāks viņu glābt.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivyo, yakobo alikwenda misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.

Latvian

un jēkabs pārgāja uz Ēģipti, un nomira viņš un mūsu tēvi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chakula kutoka kwa wanyama, chaweza kusababisha magonjwa ya kuambukiza wanyama wengine

Latvian

dzīvnieku izcelsmes produktos var būt patogēni, izraisa dzīvnieku infekcijas slimības

Last Update: 2014-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

halafu yesu aliwaambia pia mfano wa wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.

Latvian

bet tiem, kas sevi uzskatīja taisnīgus esam un citus nicināja, viņš sacīja šo līdzību:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengine walidhihakiwa na kupigwa mijeledi, na wengine walifungwa minyororo na kutupwa gerezani.

Latvian

vēl citi izcieta izsmieklu šaustīšanu, pat arī važas un cietumu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonyesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.

Latvian

un citi, kārdinādami viņu, prasīja viņam zīmi no debesīm.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu waovu na wadanyanyifu watazidi kuwa waovu zaidi na zaidi kwa kuwadanganya wengine na kudanganyika wao wenyewe.

Latvian

bet ļaunie cilvēki un krāpnieki grims dziļāk savā ļaunumā, paši maldīdamies un citus maldinādami.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo.

Latvian

kad tie bija aizgājuši, lūk, atnesa vienu mēmu, ļaunā gara apsēstu cilvēku.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana wengine wamejidai kuwa na hiyo elimu, na matokeo yake wamepoteza imani. nawatakieni nyote neema!

Latvian

daži, tās atzīdami, atkrita no ticības. Žēlastība lai ir ar tevi! amen.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. wale wakulima wakawatendea namna ileile.

Latvian

atkal viņš sūtīja citus kalpus, vairāk nekā pirmo reizi; un tie darīja ar viņiem tāpat.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dhambi za watu wengine huonekana waziwazi, nazo zawatangulia kwenye hukumu; lakini dhambi za wengine huonekana tu baadaye.

Latvian

dažu cilvēku grēki ir visiem zināmi un iet tiesā pirms tiem, bet citiem tie vēl seko.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakamjibu, "wengine wanasema wewe ni yohane mbatizaji, wengine eliya na wengine mmojawapo wa manabii."

Latvian

tie atbildēja viņam un sacīja: jānis kristītājs, citi elijs, bet citi ka viens no praviešiem.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwenye shamba akatuma mtumishi mwingine tena, na huyo wakamuua. wengine wengi waliotumwa, baadhi yao walipigwa, na wengi wakauawa.

Latvian

un viņš atkal sūtīja citu; un tie to nonāvēja, un vēl citus, no kuriem dažus sita, bet citus nogalināja.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,252,351,860 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK