Results for wakiwa translation from Swahili to Serbian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Serbian

Info

Swahili

wakiwa

Serbian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Serbian

Info

Swahili

wao wakamwabudu, wakarudi yerusalemu wakiwa na furaha kubwa:

Serbian

i oni mu su pokloniše, i vratiše se u jerusalim s velikom radošæu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na kristo wamepotea kabisa.

Serbian

dakle, i oni koji pomreše u hristu, izgiboše.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

paulo alipokwisha sema hayo, wayahudi walijiondokea huku wakiwa wanabishana vikali wao kwa wao.

Serbian

i kad on ovo reèe, otidoše jevreji prepiruæi se medju sobom.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama unavyojua, watu wote mkoani asia wameniacha, miongoni mwao wakiwa fugelo na hermogene.

Serbian

znaš ovo da se odvratiše od mene svi u aziji, medju kojima i figel i ermogen.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake.

Serbian

a kad ljudi pospaše, dodje njegov neprijatelj i poseja kukolj po pšenici, pa otide.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ambao walitokea wakiwa wenye utukufu, wakazungumza naye juu ya kifo chake ambacho angekikamilisha huko yerusalemu.

Serbian

pokazaše se u slavi, i govorahu o izlasku njegovom koji mu je trebalo svršiti u jerusalimu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikiwaacha waende nyumbani wakiwa na njaa watazimia njiani, maana baadhi yao wametoka mbali."

Serbian

i ako ih otpustim gladne kuæama njihovim, oslabiæe na putu; jer su mnogi od njih došli izdaleka.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wengi wamekuwa kizuizini, kuteswa, na hata kuuawa wakiwa katika jitihada za kuutangazia ulimwengu habari za mapinduzi.

Serbian

mnogi su privedeni, mučeni, pa i ubijeni u pokušaju da donesu priču o revoluciji svetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wanaotenda dhambi bila kuijua sheria ya mose wataangamia ingawaje hawajui sheria. na wale wanaotenda dhambi wakiwa wanaijua sheria watahukumiwa kisheria.

Serbian

jer koji bez zakona sagrešiše, bez zakona æe i izginuti; i koji u zakonu sagrešiše, po zakonu æe se osuditi

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.

Serbian

a ljudi koji idjahu s njim stajahu i èudjahu se, jer èujahu glas a ne vidjahu nikoga.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku ya ijumaa, kulikuwa na umati wa watu 500 au zaidi waliokusanyika mbele ya ofisi za nld mjini yangon, wote wakiwa wanasubiri kuachiwa kwa suu kyi.

Serbian

u petak, ispred kancelarije nld u yangonu okupilo se 500 ili više ljudi, čekajući “aunty su” oslobađanje.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakiwa bado katika hali ya kutosadiki kwa sababu ya furaha yao, na wakiwa wanastaajabu, akawauliza, "mnacho chakula chochote hapa?"

Serbian

a dok oni još ne verovahu od radosti i èudjahu se reèe im: imate li ovde šta za jelo?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini, wote wakiwa wanautangaza ujumbe wa mungu, akija mtu wa kawaida au asiyeamini, yote atakayosikia yatamhakikishia ubaya wake mwenyewe; yote atakayosikia yatamhukumu.

Serbian

a ako svi prorokuju, i dodje kakav nevernik ili prostak, bude pokaran od svih i sudjen od svih.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kukamatwa kwao kimsingi ni uvunjwaji wa haki za kimataifa zinazomlinda raia kujieleza, na haki yao ya kutokuteswa wakiwa chini ya ulinzi, kama ibara ya 6 ya makubaliano ya afrika inavyotamka kuhusiana na masuala ya haki za binadamu na makundi ya watu.

Serbian

njihovo hapšenje i zatvaranje predstavlja kršenje njihovog univerzalnog ljudskog prava na slobodu izražavanja, i njihovog prava da ne budu proizvoljno zatvoreni, gde ih štiti Član 6 afričke povelje o ljudskim pravima i pravima naroda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha hao manabii wawili wakasikia sauti kubwa kutoka mbinguni ikiwaambia, "njoni hapa juu!" nao wakapanda juu mbinguni katika wingu, maadui wao wakiwa wanawatazama.

Serbian

i èuše glas veliki s neba, koji im govori: izidjite amo. i izidjoše na nebo na oblacima, i videše ih neprijatelji njihovi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ilitaarifiwa kwamba alikuwa ametia saini makaratasi ya kuachiwa mnamo majira ya saa 6 mchana siku hiyo hata wanachama wa chama cha national league for democracy, ambacho ni chama cha suu kyi, walianza kusafisha ofisi za makao makuu ya kamati kuu huku wakiwa na matarajio ya kuachiwa kwa suu kyi.

Serbian

Čak su članovi nacionalne lige za demokratiju (nld), partije su Ći, predviđajući njeno oslobađanje, počeli čišćenje kancelarije štaba sekretarijata.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikaona kitu kama bahari ya kioo, imechanganywa na moto. nikawaona pia wale watu waliomshinda yule mnyama na sanamu yake na ambaye jina lake lilitajwa kwa ile tarakimu. watu hao walikuwa wamesimama kando ya hiyo bahari ya kioo, wakiwa na vinubi walivyopewa na mungu.

Serbian

i videh kao stakleno more smešano s ognjem, i one što pobediše zver i ikonu njenu, i žig njen, i broj imena njenog, gde stoje na moru staklenom i imaju gusle božije;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

befeqadu hailu, abel wabela, atnaf berahane, mahlet fantahun, zelalem kibret, na natnael feleke (wote wakiwa n wanachama wa mkusanyiko wa wanablogu wa zone 9) na waandishi wa habari asmamaw hailegeorgis, tesfalem waldyes pamoja na edom kassaye walikamatwa mnamo aprili 25 na 26, 2014 jijini addis ababa.

Serbian

befeqadu hailu, abel wabela, atnaf berahane, mahlet fantahun, zelalem kibret, i natnael feleke (svi članovi grupe blogera zone 9) i novinari asmamaw hailegeorgis, tesfalem waldyes i edom kassaye su uhapšeni 25 i 26 aprila 2014 godine u adis abebi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,114,765 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK