Results for safi translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

safi.

Spanish

sí.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

safi sana cammy unayeogelea kama samaki!

Spanish

¡buen trabajo cammy el pez!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watanyweshwa kinywaji safi kiliyo tiwa muhuri,

Spanish

se les dará de beber un vino generoso y sellado,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika dini safi ni ya mwenyezi mungu tu.

Spanish

el culto puro ¿no se debe a alá?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

heri wenye moyo safi, maana watamwona mungu.

Spanish

"bienaventurados los de limpio corazón, porque ellos verán a dios

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

je, wapi pengine tutapata maji safi na salama?

Spanish

¿podremos tener acceso en algún sitio a agua limpia y segura?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vya fedha safi kama kiyoo, wamevipima kwa vipimo.

Spanish

de un cristal de plata, de medidas determinadas.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

isipo kuwa mwenye kumjia mwenyezi mungu na moyo safi.

Spanish

excepto a quien vaya a alá con corazón sano».

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi.

Spanish

con cálices. jarros y una copa de agua viva,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alizuiliwa makusudi kupumua hewa safi, kuonja chakula bora na kunywa tone la maji safi.

Spanish

intencionalmente se le prohibió respirar aire fresco, comer alimentos nutritivos y beber agua fresca.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

like mwenyewe alisisitiza kwamba kwa sababu yeye ni mtu safi basi asingeweza kufuata amri za kipuuzi.

Spanish

como su insistencia, porque es una persona tan buena, que no pudo seguir órdenes ilógicas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

suala la upatikanaji wa maji safi na kwa bei nafuu ni haki ya kibinadamu lakini hii haijapewa kipaumbele inavyohitajika sana.

Spanish

el asunto del acceso al agua pura y asequible es un derecho humano fundamental, sin embargo no se le presta la atención necesaria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye ndiye anaye zituma pepo kuwa bishara njema kabla ya rehema yake, na tunayateremsha kutoka mbinguni maji safi.

Spanish

Él es quien envía los vientos como nuncios que preceden a su misericordia. hacemos bajar del cielo agua pura,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunakunywesheni katika vile viliomo matumboni mwao, vikatoka baina ya mavi na damu, maziwa safi mazuri kwa wanywao.

Spanish

os damos a beber del contenido de sus vientres, entre heces y sangre: una leche pura, grata a los bebedores.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninamshukuru mungu ambaye ninamtumikia kwa dhamiri safi kama walivyofanya wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka daima katika sala zangu.

Spanish

doy gracias a dios, a quien rindo culto con limpia conciencia como lo hicieron mis antepasados, de que sin cesar me acuerdo de ti en mis oraciones de noche y de día

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

leo zaidi ya asilimia 95 ya watoto wanapata elimu ya msingi bora, vifo vya watoto vimepungua kwa asilimia 61, na robo tatu ya raia wa nchi hiyo wanapata maji safi.

Spanish

hoy más del 95 por ciento de niños tienen acceso a educación primaria completa, la mortalidad infantil se ha reducido en un 61 por ciento y tres cuartos de la población tiene acceso a agua potable.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, maria alichukua chupa ya marashi ya nardo safi ya thamani kubwa, akampaka yesu miguu na kuipangusa kwa nywele zake. nyumba yote ikajaa harufu ya marashi.

Spanish

entonces maría, habiendo traído una libra de perfume de nardo puro de mucho valor, ungió los pies de jesús y los limpió con sus cabellos. y la casa se llenó con el olor del perfume

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"pamoja na maonyo haya, watu wengine bado wanaendelea na ubinafsi, wanakataa kuupokea mfumo wa nishati safi au kupunguza nyayo zao za gesi ya ukaa."

Spanish

a pesar de estas advertencias, algunas personas todavía continúan siendo egoístas, se reúsan a cambiar a combustibles más limpios o reducir sus huellas de carbono de algún modo.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,617,872 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK