Results for wanajadiliana translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

wanajadiliana

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

lakini wao wakawa wanajadiliana: "anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate."

Spanish

ellos discutían entre sí, diciendo: --es porque no trajimos pan

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka wafu.

Spanish

y ellos guardaron la palabra entre sí, discutiendo qué significaría aquello de resucitar de entre los muertos

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanajadiliana nawe kwa jambo la haki baada ya kwisha bainika, kama kwamba wanasukumwa kwenye mauti nao wanaona.

Spanish

así ahora disputan contigo sobre la verdad, luego de haberse ésta mostrado claramente, como si fueran arrastrados a la muerte, conscientes de ello.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuanzia saudia mpaka palestina, watumiaji twita wa kiarabu wanajadiliana kuhusu mshikamano, kugawanyika na rasili mali za sudani.

Spanish

desde arabia saudita hasta palestina, los tuiteros árabes están discutiendo sobre la unidad de sudán, la división y los recursos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika maandishi, picha za maafa ni mbadala na mahojiano na waathirika, ambao wanajadiliana juu ya janga na kutazamia siku zijazo.

Spanish

en el documental las imágenes del desastre alternan con las entrevistas a los sobrevivientes quienes hablan sobre la tragedia y de su mirada al futuro.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao ambao wanajadiliana katika ishara za mwenyezi mungu pasipo ushahidi wowote ulio wafikia, ni chukizo kubwa mbele ya mwenyezi mungu na mbele ya walio amini.

Spanish

quienes discuten sobre los signos de alá sin haber recibido autoridad... es muy aborrecible para alá y para los creyentes.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wachambuzi kwenye mitandao ya kijamii na waandishi wa habari wanajadiliana namna gani wanafikiri serikali inaweza kuwa na maslahi fulani kwa kuzuia miswada hii isionekane hadharani, wakati huo huo ikiharakisha mchakato.

Spanish

los comentaristas de medios sociales y los periodistas intercambian opiniones sobre por qué creen que el gobierno de tanzania se preocupa por ocultar estos proyectos de ley al público, al mismo tiempo que procuran agilizar su proceso de aprobación.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nembo ya uchaguzi wa 2014, kupitia ukurasa wa facebok wa tume huru ya uchaguzi kadri uchaguzi unavyokaribia nchini tunisia, watumiaji wa mtandao wanajadiliana ikiwa uchaguzi huo una hadhi ya wao kupiga kura katika uchaguzi ujao wa wabunge na rais.

Spanish

logo de las elecciones de 2014, a través de la página de facebook de la comisión electoral independiente debido a la cercanía de las elecciones en túnez, los internautas empiezan a debatir si merece la pena o no ir a votar en las próximas elecciones presidenciales.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mjadala kuhusu kufuatiliwa (kwa nyimbo hizo na vyombo vya serikali) umehamia mtandaoni ambapo watu wanajadiliana juu ya faida ya wimbo huo kama sehemu ya utamaduni halisi wa visiwa hivyo, watu wapende wasipende, na matokeo ya kauli hiyo ya serikali katika kukuza umaarufu wa nyimbo za namna hiyo.

Spanish

el debate sobre censura se ha llevado en línea donde la gente discute sobre los méritos de la canción como parte de la cultura actual de la isla, le guste o no a la gente, y el impacto que los comentarios de las autoridades tendrán sobre la popularidad del tema.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,634,854 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK