Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
وكان لهم حينئذ اسير مشهور يسمى باراباس.
wakati huo kulikuwa na mfungwa mmoja, jina lake baraba.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
فصرخوا بجملتهم قائلين خذ هذا واطلق لنا باراباس.
lakini wote wakapiga kelele pamoja: "mwondoe huyo, utufungulie baraba!"
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
حينئذ اطلق لهم باراباس. واما يسوع فجلده واسلمه ليصلب
hapo pilato akawafungulia baraba kutoka gerezani, lakini akamtoa yesu asulubiwe.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
فصرخوا ايضا جميعهم قائلين ليس هذا بل باراباس. وكان باراباس لصا
hapo wakapiga kelele: "la! si huyu ila baraba!" naye baraba alikuwa mnyang'anyi.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
فاجاب الوالي وقال لهم من من الاثنين تريدون ان اطلق لكم. فقالوا باراباس.
mkuu wa mkoa akawauliza, "ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka nimfungue?" wakamjibu, "baraba!"
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
وكان المسمى باراباس موثقا مع رفقائه في الفتنة الذين في الفتنة فعلوا قتلا.
basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
فبيلاطس اذ كان يريد ان يعمل للجمع ما يرضيهم اطلق لهم باراباس واسلم يسوع بعدما جلده ليصلب
pilato alitaka kuuridhisha huo umati wa watu; basi, akamwachilia baraba kutoka gerezani. akaamuru yesu apigwe viboko, kisha akamtoa asulubiwe.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ففيما هم مجتمعون قال لهم بيلاطس من تريدون ان اطلق لكم. باراباس ام يسوع الذي يدعى المسيح.
hivyo, watu walipokusanyika pamoja, pilato akawauliza, "mwataka nimfungue yupi kati ya wawili hawa, baraba ama yesu aitwae kristo?"
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible