Usted buscó: pretending (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

verily, you were (pretending to be) the mighty, the generous!

Suajili

ati wewe ndiye mwenye nguvu, mtukufu!

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

thanks for leaving it up because we have to stop pretending everything is alright...it is time for these things to stop....

Suajili

ahsante kwa kuiacha hapa kwa sababu ni lazima tuache kujidanganya kuwa kila kitu kipo sawa… muda umefika kwa mambo haya kukomeshwa…

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and according to their pretending, they say that such and such cattle and crops are forbidden, and none should eat of them except those whom we allow.

Suajili

nao husema: wanyama hawa na mimea hii ni mwiko. hawatokula ila wale tuwapendao - kwa madai yao tu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

we cannot turn the other cheek pretending that it is not scientists and engineers who develop technologies that are later used to spy on billions of citizens or kill civilians by remote control.

Suajili

hatuwezi kugeuza shavu la pili na kujifanya kwamba si wanasayansi wala wahandisi huendeleza teknolojia ambazo baadaye hutumika kwa minajili ya kupeleleza mabilioni ya wananchi au kuua raia kwa vifaa vya udhibiti.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

our daily lives allow us the option of closing our eyes and pretending there is no problem. this show brings it right inside our living rooms, with full facts and figures.

Suajili

maisha ya kila siku yanatupa nafasi kufunga macho yetu na kujifanya kana kwamba hakuna shida.kipindi hiki kinatuletea moja kwa moja kwenye sebule zetu kikiwa na maelezo ya kweli pamoja na tarakimu zake.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and they assign to allah a share of the tilth and cattle which he has created, and they say: "this is for allah according to their pretending, and this is for our (allah's so-called) partners."

Suajili

na wamemwekea sehemu mwenyezi mungu katika mimea na wanyama alio umba, nao husema: hii ni sehemu ya mwenyezi mungu - kwa madai yao - na hii ni ya miungu tunao washirikisha.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

and when he saw their hands not reaching towards it, he thought they were pretending and inwardly started fearing them; they said, “do not be afraid – we are sent to the people of lut.”

Suajili

basi alipoona mikono yao haimfikilii aliwatilia shaka, na akawaogopa. wakasema: usiogope!

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

i had a homework assignment once to attend a service in the past so i visited "a decent church” in the neighborhood, but what i found there was a kooky cult in which someone pretending to be a minister played the guitar in a japanese-style room.

Suajili

niliwahi kufanya kazi ya ziada wakati fulani kuhudhuria ibada siku za nyuma na baadae ninatembela "kanisa zuri" hapa jirani, lakini nilichokikuta ni kikanisa cha kijinga kikiwa na mtu anayejifanya mhubiri akipiga gitaa kwenye chumba chenye madhari ya ki-japani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

in his commencement speech on may 5, president obama said, ”we are not a collection of strangers…we are bound to one another by a set of ideals and laws and commitments.” ”pretending to be in new york’s” post, together with his translation of the speech, attracted over 30,000 retweets and nearly 6,000 comments in about two days.

Suajili

katika hotuba yake wakati wa mahafali yaliyofanyika mei 5, 2013, rais obama alisema , ” sisi siyo kusanyiko la watu tusiofahamiana… tunaunganishwa pamoja kwa kanuni mbalimbali za maisha, sheria na makubaliano.” makala ya mtumiaji huyo ajiitaye ”kujifanya nipo new york”, pamoja na tafsiri ya hotuba ya rais obama, iliwavutia zaidi ya watu 30,000 walioendelea kutwiti makala hii pamoja na maoni takribani 6,000 kwa muda wa siku mbili.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

influential sina weibo user @假装在纽约, or “pretending to be in new york,” a widely followed provocateur who frequently tweets about the u.s. and whose account has more than 470,000 followers recommended the speech to chinese youths:

Suajili

mtumiaji mwenye ushaeishi mkubwa kwenye mtandao wa sina weibo @假装在纽约, au “kujifanya nipo new york,” mchambuzi wa mambo aliye na wafuatiliaji wengi kutoka sehemu mbalimbali ambaye mara nyingi amekuwa akitwiti kuhusiana na marekani na ambaye ukurasa wake unatembelewa na watu zaidi ya 470,000 alipendekeza hotuba hii kwa vijana wa china:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

yet they assign to some of his slaves a share with him (by pretending that he has children, and considering them as equals or co-partners in worship with him). verily, man is indeed a manifest ingrate!

Suajili

na wanamfanyia katika waja wake fungu. kwa hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila aliye dhaahiri.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo