Usted buscó: kushangazwa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kushangazwa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

watumiaji wengi wa mtandao wameonesha kushangazwa na waziwazi kuchukizwa na habari hii.

Inglés

many netizens seem puzzled and clearly annoyed by the news.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

baadhi ya waafrika kusini wanaoonekana kushangazwa na madai kwamba nchi hiyo ilitoa rushwa ya dola za marekani milioni 10 ili kupewa nafasi ya kuandaa mashindano hayo.

Inglés

few south africans appear to be overly distraught by the allegations that the country paid a $10-million bribe to win its world cup bid.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

picha za kutisha za miili ya maiti hao, pamoja na video za baada ya shambulizi hilo, zinasambazwa mtandaoni, kuonyesha kushangazwa sana na mauaji hayo.

Inglés

graphic photographs of mutilated bodies, as well as videos of the aftermath of the attack, are being circulated online, showing the devastation.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

huko bahraini, silly bahraini girl (ambaye ni mimi) amerudi nyumbani na kushangazwa na kile alichokiona katika kiwanja cha ndege cha nchini mwake:

Inglés

in bahrain, silly bahraini girl (which is me) is back home and surprised at what she saw at her country's airport:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

alionyesha kushangazwa kwake na hali inavyoendelea kuwa ilivyo katika mfumo wa kisiasa wa madagaska kiasi kwamba kwa mujibu wake hicho ni kikwazo kikuu cha kuzuia ubia wa pamoja na wawekezaji wa kigeni (fr):

Inglés

he voiced his frustration with the current status-quo in the madagascar political system that according to him is the main roadblock preventing more bilateral cooperation with foreign investors :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanablogu ahmed shokeir aliendesha taftishi ya kutafuta watu 10 wenye ushawishi zaidi nchini misri baada ya kushangazwa na matokeo ya gamal mubarak, mtoto wa rais hosni mubarak wa misri - kama mmoja wa washindi 100 wa mwisho wa mwaka 2009 wa time.

Inglés

blogger ahmed shokeir conducted a survey to find out the 10 most influential people in egypt after he was surprised to find out that gamal mubarak, son of egyptian president hosni mubarak — who is expected to succeed his father — was among the 2009 time 100 finalists . shokeir writes: the real surprise was the second arab influential person after sheikh ahmed bin zayed al nahyan, abu dhabi investment authority managing director who was ranked as number 13 with more than 839 thousand votes. for the first time gamal mubarak's name shows up on the time list in the 18th position with a slight difference (832,593 votes).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

@adel_salib: mtu fulani anaweza kushangazwa kuwa polisi walikuwa wakishuhudia wakati waumini wa shia walipokuwa wakiuliwa, wakati kwa upande mwingine miezi miwili iliyopita, polisi walishambulia parokia.

Inglés

@adel_salib: someone is surprised that the police were watching while the shia were being murdered when two months ago the police were attacking the cathedral.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,747,125,478 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo