Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
hii inamaanisha nini kwa nchi ya syria?
what does that mean for syria?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ni faida kwa nchi yetu kutembelewa na mhe ban.
it is nice to have our country visited by mr ban.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
basi, wakaanza kumwomba aondoke katika nchi yao.
and they began to pray him to depart out of their coasts.
Última actualización: 2024-02-19
Frecuencia de uso: 2
Calidad:
mamlaka za marekani pia zimelaumiwa kwa kuchukuwa msaada iliyotolewa kwa nchi zingine kuelekea nchi yao.
us authorities have also been accused of diverting aid meant for other nations to their own country.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
je, hizo ni habari njema au mbaya kwa nchi ya singapore?
is this good or bad for singapore?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
je, tunaweza kusema hivi hivi pia kwa nchi za kaskazini na magharibi?
can we say the same about the north/west?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hakuna miongozo mizuri ya kukuza talanta kwa kujitayarisha kwa utumishi kwa nchi.
there are no proper structures to develop and nature talent in readiness for national duty.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kujitolea kwangu kwa nchi yangu na kwa katiba ya puerto rico kutaendelea kuwa imara.
my commitment to the country and to the constitution of puerto rico is unwavering.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
dhima ya wamadagascar walio nchi za mbali kwa maendeleo ya nchi yao imewahi kujadiliwa hapo kabla katika ulimwengu wa wanablogu wa madagascar.
the role of the diaspora in the development of madagascar has been discussed previously in the malagasy blogosphere.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hawa waoga wanataka kuanzisha vita vya kiraia; wamekwisha angamiza nchi yao kwa njia hii.
these cowards want to create civil war; they have already destroyed their own country by this means.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa nchi nyingi za ki-afrika, mifumo ya ustawi wa jamii bado inaendelea kukua.
for the majority of african countries, social welfare systems are still evolving.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
madai yanaonekana kuwa hayana maana kwa kiasi fulani kwa unapofananisha na mifumo ya adhabu kwa nchi nyinginezo.
the claim seems a little bogus when penal systems of other countries are brought into consideration.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wanablogu wa naijeria wanatumia muda wao mwingi kuzungumza ilhali wakitengeneza mjadala wa kitaifa kuhusiana na mustakabali wa nchi yao.
nigerian bloggers are busy talking but creating a national conversation about the future of their country.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa hakika, maendeleo haya katika kuboresha huduma za afya kwa wakimbizi ni mafanikio makubwa kwa nchi ya irani na eneo hilo zima.
indeed, this development in instating universal public healthcare for refugee populations is a notable milestone for both iran and the region.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hapa chini unaweza kuona picha zilizowekwa kwenye ukurasa wa facebook wa kampeni hiyo ya “urembo kwa nchi yangu”:
below are some of the photos posted to the facebook page for "beauty for country":
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
(d) kuanzisha sheria endelevu zinazolinda familia za kitamaduni ambazo zinaweza kuwa mfano kwa nchi nyingine;
(d) to establish progressive legislation protective of the traditional family that can serve as a model for other countries;
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"ninavutiwa sana na gesi inayotokana na samadi kwa sababu ninaamini kuwa ina uwezo mkubwa siyo tu kwa napal bali hata kwa nchi jirani kama vile india na bangladeshi.
"i am interested about biogas a lot because i believe that it has immense potential not only for nepal but also for neighboring countries like india and bangladesh.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
hivi mnajua kwamba zambia huenda ingeweza kuwa moja ya nchi bora zaidi duniani kama wataalamu wetu wangeipenda zaidi nchi yao kwa kurudi nyumbani na kuchangia katika harakati za kuiendeleza?
do you know that zambia would probably be one of the best countries in the world if only our professionals would be more patriotic by coming back home to contribute towards the development of the country?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
katika toleo la wiki hii tunazungumza na allan a maryam kuhusiana na harakati zao, mapambano wanayokabiliana nchini bahrain na misri pamoja na matumaini yao yanayowafanya wawe na moyo imara kuhusiana na mustakabali wa nchi yao.
in this episode we talk to alaa and maryam about their activism, the struggles they face in bahrain and egypt and the hopes that keeps them resilient about their country's future.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
victor alionesha uzalendo wa kweli kwa nchi yake hata pale alipokuwa akifanya kazi na taasisi ya straight talk foundation ya kampala, alipokuwa akikutana na watu katika shughuli zake aligundua kuwa watu wa kaskazini mwa uganda kuna mengine zaidi walistahili na walihitaji mbali na vipeperushi.
victor’s heart was home even when he worked with straight talk foundation in kampala, interacting with the people in the field made him realize that the people of northern uganda wanted more than hand outs but wanted and deserved more.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: