Usted buscó: zinapatikana (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

zinapatikana

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

zinapatikana kwenye youtube kwa kupitia verdadetruth.

Inglés

available on youtube by verdadetruth.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

taswira za moja kwa moja za setilaiti zinapatikana hapa.

Inglés

direct satellite imagery is available here.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

taarifa zaidi zinapatikana kwenye gazeti la a verdade .

Inglés

information on the a verdade newspaper.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

data chache zinapatikana kuhusu vidonda vidogo na pathofisiolojia ya covid-19.

Inglés

few data are available about microscopic lesions and the pathophysiology of covid-19.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

(taarifa zaidi za historia ya jambo hilo zinapatikana granite studio na chinageeks)

Inglés

(more background information from granite studio and chinageeks)

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

habari kama zinavyotokea (katika wakati halisi) mtandaoni zinapatikana kwa lugha ya kifaransa hapa.

Inglés

live online reports can also be found in french here.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

habari zinapatikana katika lugha za kiingereza, kijerumani, na kifaransa katika mwonekano wa tovuti ya balkans.

Inglés

the stories are available in english, german, and french on the face the balkans website.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

picha zaidi na taarifa zinapatikana kwa kufuata viungo habari #votoexteriorcr , #eleccionescr na #vivomivoto .

Inglés

more pictures and reports on the hashtags #votoexteriorcr , #eleccionescr and #vivomivoto .

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

habari za maandamano ya upinzani ya januari 25 ya vuguvugu la la vijana wa aprili 6 zinapatikana kwenye ukurasa huu wa facebook (ar).

Inglés

a continuous coverage page is available for the january 25 protests on this april 6 youth movement facebook page (ar).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

pamoja na kuwa hakuna nyenzo za kuweza kuonesha picha hizo zinapatikana wapi wala idadi ya wahanga, zifuatazo ni baadhi ya picha chache zinazoonesha namna miundo mbinu na makazi ya watu yalivyo athiriwa.

Inglés

although there is no liable resources to confirm the locations of the photographs nor the number of victims, the next few pictures are just a sample to consider of how syria's infrastructure and residential areas have been affected.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wakati huo huo, habari kamili ya kukamatwa, mashitaka na kufungwa kwa adnan hajizade na emin milli zinapatikana kwenye sehemu ya azerbaijan ya global voices online na kwenye blogu ya ol!

Inglés

meanwhile, full coverage of the detention, trial and imprisonment of adnan hajizade and emin milli is available in the azerbaijan section of global voices online and on the ol!

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

richard barrow: wanasema kuwa kuwa magari ya mizigo na mabasi mengi ya #mashatimekundu yamekuwa yakisimamishwa na kukaguliwa katika vizingiti vya polisi jambo ambalo linawachelewesha mamia ya picha za mashati mekundu zinapatikana kwenye mtandao kwa hisani ya richard barrow.

Inglés

richard barrow: they are saying many of the #redshirt pickups and buses are being stopped and searched by police checkpoints which is delaying them hundreds of photos of the red shirts are accessible online courtesy of richard barrow.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

data kuhusu kulazwa kwa wagonjwa wa visa vya covid-19 katika hospitali au kitengo cha kushughulikia wagonjwa mahututi kwa sasa zinapatikana kiwango cha eu/eea kwa 6% na 1% ya visa mtawalia (data haijaonyeshwa).

Inglés

data on admission of covid-19 cases in a hospital and/or an intensive care unit are currently available at eu/eea level for only 6% and 1% cases, respectively (data not shown).

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,775,832,259 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo