Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
aidan eyakuze and ben taylor, both of whom work for the independent east african initiative twaweza, argued that the bill gives too much power to police without meaningful oversight:
aidan eyakuze na ben taylor, wote wawili wakifanya kazi kwenye asasi huru inayofanya kazi zake afrika mashariki iitwayo twaweza, walikuwa na hoja kwamba muswada huo unatoa nguvu nyingi mno kwa polisi bila namna nzuri ya kuwadhibiti:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
...the bill gives even very junior police officers the power to search and/or seize any computer equipment or data, including the content of messages, with no meaningful justification required or oversight provided.
...muswada unampa mamlaka hata afisa mdogo kabisa wa polisi kupekua na/au kumnyang’anya raia kifaa cha kompyuta au data, ikiwa ni pamoja na maudhui ya ujumbe, bila sababu au usimamizi unaoeleweka.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :