Hai cercato la traduzione di hadharani da Swahili a Arabo

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Arabic

Informazioni

Swahili

hadharani

Arabic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda.

Arabo

‎وكان كثيرون من الذين آمنوا يأتون مقرين ومخبرين بافعالهم‎.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wale wanaotenda dhambi waonye hadharani, ili wengine wapate kuogopa.

Arabo

الذين يخطئون وبّخهم امام الجميع لكي يكون عند الباقين خوف.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

saudi arabia yawanyonga raia watano wa yemeni na kutundika miili yao hadharani

Arabo

السعودية: إعدام خمسة يمنيين وتعليق الجثامين في الشارع

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini yeyote atakayenikana hadharani, nami nitamkana mbele ya baba yangu aliye mbinguni.

Arabo

ولكن من ينكرني قدام الناس انكره انا ايضا قدام ابي الذي في السموات

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wa-yemeni watano walinyongwa na kutundikwa hadharani kwenye mitaa ya saudi arabia.

Arabo

تم إعدام خمسة يمنيين وعُرضت جثثهم في شوارع السعودية.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mnajua kwamba sikusita hata kidogo kuwahubiria hadharani na nyumbani mwenu na kuwafundisha chochote ambacho kingewasaidieni.

Arabo

كيف لم أؤخر شيئا من الفوائد الا واخبرتكم وعلمتكم به جهرا وفي كل بيت‎.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wageni wasio waislamu hawawezi kupiga kura, kuabudu hadharani, kupata uraia, wala kutumikia umma.

Arabo

لا يحق للأجانب من غير المسلمين التصويت، أو العبادة علناً، الحصول على الجنسية، أو شغل المناصب العامة.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mara nyingine mlitukanwa na kufedheheshwa hadharani; mara nyingine mlikuwa radhi kuungana na wale walioteswa namna hiyohiyo.

Arabo

من جهة مشهورين بتعييرات وضيقات ومن جهة صائرين شركاء الذين تصرّف فيهم هكذا.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

watumiaji wa mfumo wao huweka taarifa zao binafsi wanazoona ni salama kuzitangaza hadharani ambazo bado ziwafanye wabaki kuwa na faragha ya kutokufahamika.

Arabo

مستخدمو موقع المنظمة فقط يرفعون المعلومات التي يرون أنه من الآمن مشاركتها، حتى يظلوا مجهولين.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hakuna maelezo rasmi ya sababu ya kukamatwa kwake leo, hiyo ni kwa kuwa alaa alikuwa ametangaza hadharani kuwa angejisalimisha mwenyewe siku ya jumamosi.

Arabo

blood stains in our bedroom where police have beaten @alaa اثار الدم في غرفة نومنا بعد ان ضربته الداخلية pic.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu alipoanza kazi yake hadharani, alikuwa na umri upatao miaka thelathini, na watu walidhani yeye ni mwana wa yosefu, mwana wa heli.

Arabo

ولما ابتدأ يسوع كان له نحو ثلاثين سنة وهو على ما كان يظن ابن يوسف بن هالي

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hata hivyo, wengi wa viongozi wa wayahudi walimwamini yesu. lakini kwa sababu ya mafarisayo, hawakumkiri hadharani kwa kuogopa kwamba watatengwa na sunagogi.

Arabo

ولكن مع ذلك آمن به كثيرون من الرؤساء ايضا غير انهم لسبب الفريسيين لم يعترفوا به لئلا يصيروا خارج المجمع.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

watu watano wa yemeni waliokuwa wametiwa hatiani kwa mauaji na ujambazi walinyongwa kwa kukatwa vichwa vyao nchini saudia arabia na miili yao kutundikwa hadharani katika mji wa jizan ulio kusini magharibi mwa nchi hiyo.

Arabo

تم إعدام خمسة يمنيين في المملكة العربية السعودية أُدينوا بجرائم قتل وسرقة وعُلقت جثامينهم في الشارع جنوب غربي مدينة جيزان.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

greencity aliandika mnamo julai 8, 2012 kuwa mkuu wa halmashauri kuu la irani la haki za binadamu, javad larijani, alikanusha hadharani kuwepo kwa wafungwa wa kisiasa nchini irani.

Arabo

ذكرت مدونة greencity أنه فقط يوم 8 يوليو / تموز عام 2012، ظهر رئيس المجلس الايراني لحقوق الإنسان، جواد لاريجاني، وأنكر علنا وجود سجناء سياسيين في إيران.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ufadhili huu utamuwezesha rebecca na wenzake katika kuandaa safu itakayoonesha ni kwa kiasi gani makampuni yanayotoa huduma ya intaneti yanavyoweza kutunza haki za wateja wao, ikiwa ni pamoja na kuiweka hadharani rafu hiyo ya kidunia kwa lengo la kuyahamasisha makampuni hayo kuboresha huduma zake.

Arabo

ستساعد الجائزة ريبيكا وفريقها على تقييم شركات الإنترنت في مجال حماية خصوصية المستخدمين، وعلى نشر مؤشر دولي لمساعدة الشركات على دعم ممارساتها في هذا المجال.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa hiyo, yesu hakutembea tena hadharani kati ya wayahudi, bali alitoka hapo, akaenda mahali karibu na jangwa, katika mji uitwao efraimu. akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.

Arabo

فلم يكن يسوع ايضا يمشي بين اليهود علانية بل مضى من هناك الى الكورة القريبة من البرية الى مدينة يقال لها افرايم ومكث هناك مع تلاميذه.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu akamjibu, "nimesema na kila mtu daima hadharani. kila mara nimefundisha katika masunagogi na hekaluni, mahali wakutanikiapo wayahudi wote; na wala sijasema chochote kwa siri.

Arabo

اجابه يسوع انا كلمت العالم علانية. انا علّمت كل حين في المجمع وفي الهيكل حيث يجتمع اليهود دائما. وفي الخفاء لم اتكلم بشيء.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

toleo lililokuwa linatarajiwa sana, release, kutoka tovuti inayotoboa siri wikileaks, linatarajiwa kuweka hadharani zaidi ya mawasiliano 250,000 ya waya – ambayo ni seti ya nyaraka za siri kubwa zaidi kuwekwa hadharani.

Arabo

من المتوقع في التسريب المنتظر، من خلال موقع ويكيليكس، الإفراج عن أكثر من 250 ألف وثيقة دبلوماسية أمريكية للعامة، وهذه أكبر مجموعة من الوثائق المسربة للعامة ظهرت حتى الآن.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mapema juma lililopita, wakati wa uzinduzi wa mkutano juu ya chanjo ya ukimwi ya kimataifa ya 2008 (international aids vaccine 2008) huko cape town, hogan, alitangaza hadharani kwamba vvu husababisha ukimwi na kwamba ni lazima kukabiliana nao kwa kutumia dawa za hospitalini. pia alieleza kwamba serikali ilikuwa na nia ya dhati kuongeza nguvu katika programu za kuzuia uambukizaji wa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, dawa zinazozuia akina mama wajawazito wenye vvu kuwapatia watoto wao ambao hawajazaliwa maambukizo na kueleza kwamba chango madhubuti ya vvu ilikuwa ikihitajika mno.

Arabo

وقالت هوغان بشكل علني في وقت سابق من هذا الأسبوع في افتتاح مؤتمر لقاح الإيدز 2008 في كيب تاون أن فيروس نقص المناعة البشرية يسبب مرض الإيدز ويجب علاجه باستخدام الطب التقليدي، وأضافت قائلة أن الحكومة ملتزمة بالعمل على زيادة برامج منع انتقال الفيروس من الأم إلى الجنين، وأكدت على الحاجة الملحة لتطوير لقاح فعال لللإيدز.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,762,030,394 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK