Hai cercato la traduzione di freiheit da Tedesco a Swahili

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Tedesco

Swahili

Informazioni

Tedesco

freiheit

Swahili

maisha marefu

Ultimo aggiornamento 2022-08-01
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

auch reeyot alemu ist wieder in freiheit.

Swahili

inaniuma sana kwani sikuweza kumpatia edom ulinzi dhidi ya serikali yetu dhalimu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

"sit-ins für die freiheit" in saudi-arabien

Swahili

maandamano ya kudai uhuru yafanyika kwenye miji ya saudi arabia.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Tedesco

allein aus diesem grund sind sie ihrer freiheit beraubt worden.

Swahili

kwa minajili hii, walipokonywa uhuru wao.they chose to stand up against injustice.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

#freezone9bloggers: die welt fordert freiheit für die zone 9-blogger

Swahili

video: dunia inasema #wanabloguzone9waachiwehuru

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

titelzeile des blogs von zelalem kiberet: ‘lasst freiheit erklingen’

Swahili

msemo wa blogu ya zelalem kiberet: ‘uache uhuru uvume’

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

auf dem banner seines blogs hat zola geschrieben "lasst freiheit erklingen".

Swahili

katika bango la blogu yake, zola aliandika ‘acha uhuru uvume’.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Tedesco

denn der herr ist der geist; wo aber der geist des herrn ist, da ist freiheit.

Swahili

hapa "bwana" ni roho; na pale alipo roho wa bwana ndipo ulipo uhuru.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Tedesco

innovation: schützt die freiheit, innovationen ohne erlaubnis umzusetzen und schöpferisch tätig zu sein.

Swahili

ugunduzi: kulinda uhuru wa kugundua na kuunda bila kulazimika kuomba idhini.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

denn auch die kreatur wird frei werden vom dienst des vergänglichen wesens zu der herrlichen freiheit der kinder gottes.

Swahili

maana hivyo viumbe navyo vitaokolewa kutoka katika utumwa wa uharibifu, vishiriki uhuru mtukufu wa watoto wa mungu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

macht am mittwoch mit - twittern bis der arzt kommt und fordert freiheit für die blogger der zone 9!

Swahili

ungana nasi jumatano hii — twiti mpaka vidole vyako viume na dai kuachiliwa huru kwa wanablogu wa zone 9!

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

im letzten jahr haben sich organisationen zusammengeschlossen, wie niemals zuvor, um für online-freiheit zu kämpfen.

Swahili

katika mwaka uliopita, mashirika duniani kote yameshikamana pamoja kuliko ilivyowahi kutokea kabla kupigania uhuru mtandaoni.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

"yalingkawas" ist ein lumad mandaya begriff für 'freiheit' oder 'befreit'.

Swahili

"yalingkawas" ni neno la lumad mandaya likiwa na maana ya uhuru.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Tedesco

@almonaseron: das sit-in für die freiheit hat gerade begonnen. frauen aus alles regionen gleichzeitig.

Swahili

@almonaseron: mikutano kwa ajili ya kudai uhuru imeanza hivi punde: wanawake katika maeneo mbalimbali wanakutana kwa wakati mmoja.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

das innenministerium verhaftete sie und wirft ihnen vor, eine nicht genehmigte versammlung abgehalten zu haben... freiheit für die sahur-inhaftierten.

Swahili

wizara ya mambo ya ndani iliwakamata kwa tuhuma za kufanya mkutano haramu ... waachilie huru wafungwa wa daku

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

ihre erzählungen und die relative freiheit, die sie als journalistin in kenia erlebte, ließen unsere gespräche über die unglückliche situation der meinungsfreiheit in Äthiopien immer tiefgründiger werden.

Swahili

simulizi alizonipa pamoja na uhuru wa habari alioushuhudia nchini kenya uliibua majadiliano ya kina kuhusu hali tete ya uhuru wa kujieleza nchini ethiopia.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Tedesco

das artikelbild zeigt den schriftzug "freiheit für alaa abd el fattah", der vor dem gebäude des militärgerichts in kairo auf die straße geschrieben wurde.

Swahili

picha iliyotumiwa kwenye makala haya inaonyesha maneno yanayosomeka "uhuru wa alaa abd el fattah" yaliyoandikwa ardhi nje ya jengo la mashitaka ya kijeshi mjini cairo.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Tedesco

am 10. juni trafen sich in mehreren saudi-arabischen städten verschiedene kleinere frauengruppen zu einem "sit-in für die freiheit".

Swahili

makundi madogo ya wanawake wa saudi arabia, kwa wakati mmoja waliitisha “maandamano ya kudai uhuru” katika maeneo mbalimbali ya majiji ya saudi arabia mnamo juni 10, 2013.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Tedesco

atnafs leidenschaft für bürgerliches engagement und sein interesse, informationen unter der bevölkerung zu verbreiten, damit die menschen verstehen, welche rechte und freiheiten sie laut verfassung haben, führten ihn dazu, den zone9-blog mit zu gründen.

Swahili

hamasa ya atnaf ya kujihusisha na uelimishaji wa jamii na kuvutiwa kwake kusambaza taarifa kwa raia ili kuwafahamisha kile katiba ya nchi inachokizungumzia kuhusiana ha haki na uhuru wao ilimfanya yeye kuwa mmoja wa waanzilishi wa blogu ya zone9: hamasa yake ya kuwa mwanaharakati wa haki za binadamu ilichochea yeye kuwa mmoja wa waanzilishi wa asasi ya zone9.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,781,793,908 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK