検索ワード: servizi (イタリア語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Italian

Swahili

情報

Italian

servizi

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

イタリア語

スワヒリ語

情報

イタリア語

stando a quel che si dice, corrente elettrica e servizi telefonici sono saltati a moquegua:

スワヒリ語

kwa mujibu wa taarifa zilizokuwa zinatangazwa, hapakuwa na umeme wala huduma ya mawasiliano ya simu za mkononi mjini moquegua:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

milanés afferma che la nuvola informatica - cioè i servizi cloud - pone nuove sfide:

スワヒリ語

milanés anasema kwamba mfumo wa kulinda taarifa kwenye kompyuta unaleta changamoto mpya:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

le regioni di tacna e moquegua senza elettricità. i servizi di telefonia movistar e claro sono fuori uso dopo il terremoto...

スワヒリ語

maeneo ya tacna na moquegua hayana umeme. huduma za makampuni ya simu ya movistar na claro hazipatikani baada ya tetemeko...

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

inoltre, i rapporti dei servizi segreti tedeschi sulla presenza di al qaeda in siria dovrebbero far lievitare queste preoccupazioni?

スワヒリ語

je, taarifa za kiusalama za ujerumani kuhusiana na uwepo wa al-qaida nchini syria kutaongeza hofu hizo? makala hii ni sehemu ya makala zetu maalumu kuhusiana na mapinduzi nchini syria 2011/12.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

i netizen hanno inoltre commentato i vari report sulle proteste in favore dei mapuche, le reazioni del governo, e i diversi servizi televisivi che si sono

スワヒリ語

watumiaji wa mtandao pia wametoa maoni yao mbalimbali kuhusiana na maandamano haya wakiiunga mkono jamii ya mapuche, hatua zinazochukuliwa na serikali pamoja na taarifa tofauti tofauti zilizotokana na jambo hili.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

i progetti idonei dovranno sviluppare nuovi servizi che usano tecnologie dell'informazione e comunicazione in modi diversi per rispondere alle necessità di bambini e giovani nelle rispettive comunità.

スワヒリ語

maombi yanayoweza kukubaliwa ni yale yanayokusudia kubuni huduma mpya zitakazotumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa njia za kiubunifu ili kuweza kukidhi mahitaji ya watoto na vijana katika jamii zao.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

il mozambico fa affidamento sull'aiuto in denaro di altri governi per incrementare il bilancio dello stato e rendere così possibile l'erogazione di servizi legati alla sanità e all'educazione.

スワヒリ語

msumbiji inategemea fedha kutoka serikali nyingine ambazo zinatoa msaada moja kwa moja kwenye bajeti yake ya taifa, kuwezesha huduma muhimu kama afya na elimu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

quindi vi supplico per le compassioni di dio, fratelli, di presentare i vostri corpi in sacrificio vivente, santo, accettevole a dio, sacro servizio con la vostra facoltà di ragionare. e cessate di conformarvi a questo sistema di cose, ma siate trasformati rinnovando la vostra mente, per provare a voi stessi la buona e accettevole e perfetta volontà di dio.

スワヒリ語

kwa sababu hiyo nawasihi ninyi kwa huruma za mungu, akina ndugu, mtoe miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, yenye kukubalika kwa mungu, utumishi mtakatifu pamoja na nguvu zenu za kufikiri. na acheni kufanyizwa kulingana na mfumo huu wa mambo, bali mgeuzwe kwa kufanya upya akili yenu, ili mjihakikishie wenyewe mapenzi ya mungu yaliyo mema na yenye kukubalika na makamilifu.

最終更新: 2013-03-07
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,743,996,626 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK