検索ワード: tano (スワヒリ語 - イタリア語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

イタリア語

情報

スワヒリ語

tano

イタリア語

5 (numero)

最終更新: 2015-07-29
使用頻度: 3
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume elfu tano.

イタリア語

quelli che avevano mangiato i pani erano cinquemila uomini

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

ujumbe huenda mara tatu, mara moja kwa kila dakika tano.

イタリア語

il messaggio viene inviato tre volte, uno ogni 5 minuti.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mara yule aliyekabidhiwa talanta tano akafanya kazi nazo akapata faida talanta tano.

イタリア語

colui che aveva ricevuto cinque talenti, andò subito a impiegarli e ne guadagnò altri cinque

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

na mara ya tano kwamba laana ya mwenyezi mungu iwe juu yake ikiwa ni miongoni mwa waongo.

イタリア語

e con la quinta [attestazione invochi] la maledizione di allah su se stesso, se è tra i mentitori.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

habari hii ilipata umaarufu katika vyombo maarufu vya pakistani siku tano baadae, yaani agosti 22.

イタリア語

l'articolo ha poi assunto un notevole rilievo sui media locali 5 giorni dopo, il 22 agosto.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

tunaunga mkono michakato wazi na shirikishi ya kutengeneza sera ya mtandao na uanzishaji wa kanuni tano za msingi:

イタリア語

sosteniamo la trasparenza e il processo di partecipazione per tutelare internet stabilendo cinque princìpi base:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

nafasi tano za ugavana zilikuwa zikigombaniwa, kwa mara ya kwanza tangu vladimir putin kufutilia mbali chaguzi kama hizo miaka saba iliyopita.

イタリア語

anche cinque posti da governatore erano in gioco, per la prima volta da quando vladimir putin aveva cancellato queste elezioni sette anni fa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

oronoz rodríguez, ambaye anakuwa mwanamke wa tano kuitumikia mahakama kuu, alitoa shukrani zake kupitia tamko la maandishi :

イタリア語

oronoz rodríguez, la quinta donna a prestare servizio alla corte suprema, ha espresso la propria gratitudine ed orgoglio in una dichiarazione scritta :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

alihojiwa na kuteswa kwa siku tano na kikosi cha usalama cha military branch 215. alihamishwa kwenye kwenye kitengo cha mahojiano namba 248 na hakuruhusiwa kuonana na watu kwa miezi tisa.

イタリア語

dopo essere stato interrogato e torturato per cinque giorni dal ramo militare 215, è stato trasferito al ramo della divisione interrogatori 248, dove è rimasto detenuto ed irraggiungibile per nove mesi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kwani! ikiwa mtavumilia na mkamchamngu na hata maadui wakikutokeeni kwa ghafla, basi hapo mola wenu mlezi atakusaidieni kwa malaika elfu tano wanao shambulia kwa nguvu.

イタリア語

anzi, se sarete pazienti e pii, quando i nemici verranno contro di voi, il vostro signore vi manderà l'ausilio di cinquemila angeli guerrieri.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mungu akaendelea kusema: “maji na yajawe na nafsi hai na viumbe vinavyoruka viruke juu ya dunia kwenye uso wa anga la mbingu.” mungu akaanza kuumba wanyama wakubwa mno wa baharini na kila nafsi hai inayotembea, wakajaa majini kulingana na aina zake, na kila kiumbe kinachoruka chenye mabawa kulingana na aina yake. kisha mungu akaona ya kuwa ilikuwa vyema. halafu mungu akawabariki, akisema: “zaeni, muwe wengi na kujaza maji yaliyo katika mabonde ya bahari, na viumbe vinavyoruka na viwe vingi duniani.” ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano

イタリア語

e dio proseguì, dicendo: “brulichino le acque di un brulichio di anime viventi* e volino creature volatili sopra la terra sulla faccia della distesa dei cieli”. e dio creava* i grandi mostri marini e ogni anima vivente che si muove, di cui le acque brulicarono secondo le loro specie, e ogni alata creatura volatile secondo la sua specie. e dio vedeva che [era] buono. allora dio li benedisse, dicendo: “siate fecondi e moltiplicatevi e riempite le acque dei bacini dei mari, e le creature volatili si moltiplichino sulla terra”. e si faceva sera e si faceva mattina, un quinto giorno.

最終更新: 2013-03-02
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,773,201,503 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK