検索ワード: wafanyabiashara (スワヒリ語 - スペイン語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Spanish

情報

Swahili

wafanyabiashara

Spanish

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

スペイン語

情報

スワヒリ語

peru: wafanyabiashara wachoma nguo kupinga bidhaa za kichina

スペイン語

comerciantes peruanos protestan quemando ropa

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kisha, yesu aliingia hekaluni, akaanza kuwafukuzia nje wafanyabiashara

スペイン語

cuando entró en el templo, comenzó a echar fuera a los que vendían

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wafanyabiashara wa magendo wanapata dola milioni 1 kwa sarafu hizo za kale zilizoibwa nchini syria.

スペイン語

los contrabandistas del isis están ganándo hasta $ 1 millón de dólares norteamericanos, por cada artículo que se vende de las antigüedades saqueadas en los escombros en siria.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hadi sasa tumeweza kuwasajili wakulima milioni 4.2 na pia wafanyabiashara wa mazao ya kilimo 900.

スペイン語

hasta la fecha se han registrado 4.2 millones de agricultores y cerca de 900 distribuidores agrícolas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@smsmediauganda: kuna taarifa kuwa wafanyabiashara wa soko la kisekka wanapinga na maduka yamefungwa.

スペイン語

@smsmediauganda: informes que los vendedores del mercado kisekka están protestando y los negocios han sido cerrados.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sasa kutakuwa na jukumu kubwa la wafanyabiashara walioambatana na rais obama la kutafuta fursa za kibiashara nchini tanzania.

スペイン語

ahora, se va a crear una delegación de cientos de empresarios en el séquito de obama para analizar las oportunidades en tanzania.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

utafiti wao uliwasababisha kuzingatia uzito wa maadili ya kitamaduni na kanuni ambazo zilizojikita katika mawazo ya kawaida ya wafanyabiashara wa afrika ili kutathmini sababu za mafanikio ya wajasiriamali wa afrika.

スペイン語

sus investigaciones les llevaron a considerar el peso de los principios y los valores culturales, fuertemente anclados en la psicología colectiva de los empresarios africanos, con tal de evaluar los factores del éxito de sus emprendedores.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wafanyabiashara wanamwambia: "faida yote uliyotazamia imetoweka, na utajiri na fahari vimekuponyoka; hutaweza kuvipata tena!"

スペイン語

"el fruto que anhela tu alma se apartó de ti. todas las cosas exquisitas y espléndidas se te desvanecieron, y jamás las hallarán

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

raia wa taiwan hivi sasa wanakusanyika kwenye viwanja vya bunge la nchi hiyo (yuan), wakipinga kupitishwa kwa mkataba usio wa haki wa kuruhusu wafanyabiashara kupita bila kukaguliwa.

スペイン語

los ciudadanos de taiwán está ahora ocupando el yuan legislativo (asamblea legislativa), en oposición a la injusta aprobación del acuerdo sobre comercio de servicios en el estrecho.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

siku za nyuma wakati nilipokuwa nikisafiri safari nyingi za kimataifa, nilikuwa nikifurahia kupanga katika hoteli zenye safu maalumu kwa ajili ya wanawake pekee. haswa katika majiji ya kigeni ambayo hayakuzoea kuwa na wafanyabiashara wanawake wanaosafiri peke yao.

スペイン語

hace mucho tiempo estuve haciendo muchos viajes internacionales, me divertí estando alojada en una habitación sólo para mujeres, especialmente cuando las ciudades extranjeras no están acostumbradas a mujeres de negocios que viajan solas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanga wa taa hautaonekana tena ndani yako; sauti za bwana arusi na bibi arusi hazitasikika tena ndani yako. wafanyabiashara wako walikuwa wakuu duniani, na kwa uchawi wako mataifa yote yalipotoshwa!"

スペイン語

la luz de la antorcha nunca más alumbrará en ti. y la voz del novio y de la novia nunca más se oirá en ti; porque tus comerciantes eran los magnates de la tierra, y porque todas las naciones fueron engañadas por tus hechicerías

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

mkurugenzi wa benki ya dunia kwa nchi za zambia, malawi na zimbabwe, bw. kundhavi kadiresan aliukosoa uamuzi huo na kudai kwamba wakulima masikini wa zambia wananyonywa kwa sababu baadhi ya wafanyabiashara walikuwa wananunua mahindi kutoka kwa wakulima hao kwa ajili ya kuliuzia shirika linaloendeshwa na serikali liitwalo hifadhi ya chakula kwa bei ya juu.

スペイン語

el director del banco mundial para zambia, malawi y zimbabwe, kundhavi kadiresan, criticó la decisión y afirmó que los pobres agricultores de zambia están siendo explotados pues algunos comerciantes estaban comprándoles maíz con la intención de revenderlo a un precio más alto a la estatal agencia de reserva alimentaria .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuna hali fulani ya kutia mashaka inayotumiwa na marekani ya kuyahadaa mataifa mengi ulimwenguni...gesi, africom, mpango wa ushirikiano wa maendeleo wa milenia, wafanyabiashara – hivi ni vitu gani ukizingatia hali tuliyonayo hivi sasa?

スペイン語

hay algo desconcertante en ser considerados un bocadito dulce por norteamérica en el planeta... gas, africom, la corporación reto del milenio, los empresarios - ¿qué son ante la situación actual?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,750,367,294 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK