検索ワード: tunaishi (スワヒリ語 - ドイツ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

German

情報

Swahili

tunaishi

German

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

ドイツ語

情報

スワヒリ語

maana tunaishi kwa imani, na si kwa kuona.

ドイツ語

denn wir wandeln im glauben, und nicht im schauen.

最終更新: 2023-12-26
使用頻度: 3
品質:

スワヒリ語

kweli tunaishi duniani, lakini hatupigani vita kidunia.

ドイツ語

denn ob wir wohl im fleisch wandeln, so streiten wir doch nicht fleischlicherweise.

最終更新: 2023-12-26
使用頻度: 3
品質:

スワヒリ語

tunaishi kama takataka kwenye pipa la taka... ni ya kubangaiza hapa

ドイツ語

wir leben hier wie müll in einem abfalleimer... wird hier erstickt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwani sasa tunaishi kweli ikiwa ninyi mnasimama imara katika kuungana na bwana.

ドイツ語

denn nun sind wir lebendig, wenn ihr stehet im herrn.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini jambo la maana zaidi, tunataka kumpendeza, iwe tunaishi hapa duniani au huko.

ドイツ語

darum fleißigen wir uns auch, wir sind daheim oder wallen, daß wir ihm wohl gefallen.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tunaishi kwenye ulimwengu ambao kuna baadhi ya watu wanaouchora uhuru wa kujieleza kama kitendo cha ugaidi.

ドイツ語

wir leben in einer welt, wo einige dazu neigen, die ausübung der meinungsfreiheit als einen akt des terrors zu betrachten.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pia tunaishi kwenye ulimwengu ambao baadhi ya watu wanatoa sadaka uhuru wao katika kutetea uhuru wetu wa kujieleza.

ドイツ語

wir leben auch in einer welt, wo andere ihre freiheit dafür opfern, damit wir stets das sagen können, was wir denken.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nawaombeni msinisababishe kuwa mkali wakati nitakapokuja, maana nina hakika naweza kuwa mkali kwa wote wale wanaotudhania kwamba tunaishi kidunia.

ドイツ語

ich bitte aber, daß mir nicht not sei, gegenwärtig dreist zu handeln und der kühnheit zu brauchen, die man mir zumißt, gegen etliche, die uns schätzen, als wandelten wir fleischlicherweise.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mungu alifanya hivyo kusudi matakwa ya haki ya sheria yatekelezwe kikamilifu ndani yetu sisi ambao tunaishi, si kwa nguvu za kibinadamu, bali kwa nguvu ya roho.

ドイツ語

auf daß die gerechtigkeit, vom gesetz erfordert, in uns erfüllt würde, die wir nun nicht nach dem fleische wandeln, sondern nach dem geist.

最終更新: 2023-12-26
使用頻度: 3
品質:

スワヒリ語

lakini huenda ni ndoto inayohitaji kutunzwa kwa sababu bila hata hisia hizi hewa za mshikamano kwa sehemu ya viungo vya mwili, sina hakika ni dunia ya aina gani tungekuwa tunaishi sasa hivi.

ドイツ語

es ist jedoch eine illusion, die es gilt aufrecht zu erhalten, denn ohne sogar diese vage hoffnung auf einigkeit von nur einem teil der gesellschaft, bin ich mir nicht sicher, in welcher welt wir jetzt leben würden.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama alivyosema mtu mmoja: ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko! ni kama washairi wenu wengine walivyosema: sisi ni watoto wake.

ドイツ語

denn in ihm leben, weben und sind wir; wie auch etliche poeten bei euch gesagt haben: "wir sind seines geschlechts."

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

maana tunajua kwamba hema hii ambayo ndani yake tunaishi sasa hapa duniani, yaani mwili wetu, itakapong'olewa, mungu atatupa makao mengine mbinguni, nyumba ya milele isiyotengenezwa kwa mikono.

ドイツ語

wir wissen aber, so unser irdisch haus dieser hütte zerbrochen wird, daß wir einen bau haben, von gott erbauet, ein haus, nicht mit händen gemacht, das ewig ist, im himmel.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,730,548,786 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK