検索ワード: divai (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

divai

英語

wine

最終更新: 2015-03-30
使用頻度: 5
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

divai mpya hutiwa katika viriba vipya!

英語

but new wine must be put into new bottles; and both are preserved.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye akaikataa.

英語

and they gave him to drink wine mingled with myrrh: but he received it not.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

acheni kulewa divai maana hiyo itawaangamiza, bali mjazwe roho mtakatifu.

英語

and be not drunk with wine, wherein is excess; but be filled with the spirit;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

wakampa mchanganyiko wa divai na nyongo. lakini yesu alipoonja akakataa kunywa.

英語

they gave him vinegar to drink mingled with gall: and when he had tasted thereof, he would not drink.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa mungu utakapokuja."

英語

for i say unto you, i will not drink of the fruit of the vine, until the kingdom of god shall come.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kwa maana yohane alikuja, akafunga na wala hakunywa divai, nao wakasema: amepagawa na pepo.

英語

for john came neither eating nor drinking, and they say, he hath a devil.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

afadhali kuacha kula nyama, kunywa divai, au kufanya chochote ambacho chaweza kumsababisha ndugu yako aanguke.

英語

it is good neither to eat flesh, nor to drink wine, nor any thing whereby thy brother stumbleth, or is offended, or is made weak.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kweli nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa upya katika ufalme wa mungu."

英語

verily i say unto you, i will drink no more of the fruit of the vine, until that day that i drink it new in the kingdom of god.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa baba yangu."

英語

but i say unto you, i will not drink henceforth of this fruit of the vine, until that day when i drink it new with you in my father's kingdom.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

wasaidizi katika kanisa wanapaswa pia kuwa watu wenye tabia njema na wanyofu; wasiwe wanywaji mno wa divai au wenye tamaa ya fedha;

英語

likewise must the deacons be grave, not doubletongued, not given to much wine, not greedy of filthy lucre;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

yesu alifika tena huko mjini kana, mkoani galilaya, mahali alipogeuza maji kuwa divai. kulikuwa na ofisa mmoja aliyekuwa na mtoto mgonjwa huko kafarnaumu.

英語

so jesus came again into cana of galilee, where he made the water wine. and there was a certain nobleman, whose son was sick at capernaum.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

wala hakuna mtu ambaye hutamani kunywa divai mpya baada ya kunywa ya zamani, kwani husema: ile ya zamani ni nzuri zaidi."

英語

no man also having drunk old wine straightway desireth new: for he saith, the old is better.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

yeye mwenyewe atakunywa divai ya ghadhabu ya mungu, ambayo imemiminwa katika kikombe cha ghadhabu yake bila kuchanganywa na maji. mtu huyo atateseka ndani ya moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu na mbele ya mwanakondoo.

英語

the same shall drink of the wine of the wrath of god, which is poured out without mixture into the cup of his indignation; and he shall be tormented with fire and brimstone in the presence of the holy angels, and in the presence of the lamb:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

wala hakuna mtu atiaye divai mpya katika viriba vikuukuu. kama akifanya hivyo, divai itavipasua hivyo viriba, nayo divai pamoja na hivyo viriba vitaharibika. divai mpya hutiwa katika viriba vipya!"

英語

and no man putteth new wine into old bottles: else the new wine doth burst the bottles, and the wine is spilled, and the bottles will be marred: but new wine must be put into new bottles.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

malaika wa pili alimfuata huyo wa kwanza akisema, "ameanguka! naam, babuloni mkuu ameanguka! babuloni ambaye aliwapa mataifa yote wainywe divai yake--divai kali ya uzinzi wake!"

英語

and there followed another angel, saying, babylon is fallen, is fallen, that great city, because she made all nations drink of the wine of the wrath of her fornication.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,761,797,006 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK