検索ワード: inayofanya (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

inayofanya

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mara kwa mara, alikuwa mkaidi na mwasi kidogo, lakini ni aina hii ya mtu inayofanya mambo yote kuvutia zaidi, nadhani.

英語

from time to time, he was a little bit obstinate and rebellious, but it’s this kind of person that makes it all more interesting, i think.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

blogu maarufu ya nawaat iliyoshinda tuzo na inayofanya kazi kwa ushirikiano na blogu nyingine imezindua jukwaa lake la mijadala ya kisiasa litakalotumika kuibua masuala nyeti: nawaat leaks.

英語

tunisian award-winning collective blog nawaat has launched its own whistle-blowing platform: nawaat leaks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati huo huo, kuna matukio ya kusambaa kwa maneno ya kashfa na kutukanana sambamba na unyanyasaji kwenye mitandao ya kijamii nchini humo, hali inayofanya kuwepo kwa mazingira ya kutokuvumiliana pamoja na ubaguzi wa rangi.

英語

at the same time, online hate speech and harassment has been widespread on myanmar's social media, creating an atmosphere intolerance and racism.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

aidan eyakuze na ben taylor, wote wawili wakifanya kazi kwenye asasi huru inayofanya kazi zake afrika mashariki iitwayo twaweza, walikuwa na hoja kwamba muswada huo unatoa nguvu nyingi mno kwa polisi bila namna nzuri ya kuwadhibiti:

英語

aidan eyakuze and ben taylor, both of whom work for the independent east african initiative twaweza, argued that the bill gives too much power to police without meaningful oversight:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

siku chache baada ya matokeo hayo kutandazwa, vyombo vya habari nchini humo viligundua kwamba serikali inasemekana ililipa shirika moja la mahusiano ya umma lenye makazi yake nchini marekani shilingi milioni 614 za uganda (sawa na $206,000, au euros 174,000) "kuitengeneza vizuri taswira ya uganda" baada ya mtafaruku ulioenea duniani kote kufuatia sheria inayofanya mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja kuwa kosa la jinai linaloadhibiwa kwa kifungo jela kwa baadhi ya mazingira.

英語

a few days after the poll results were released, ugandan media revealed that the government had reportedly paid a us public relations firm 614 million ugandan shillings ($206,000, 174,000 euros) "to prop up uganda's image" after it took a hit internationally thanks to a law that criminalized same-sex relations with life in prison in some cases.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,759,581,260 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK